tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Viongozi watanzania huwa hawajali. Hata mfe mamia au maelfu kwenye ajali moja hawawezi katisha safari zao, sembuse makumi.
Shida huwa hakuna uwajibishaji.
Utawasikia wapiga tarumbeta wao wakikwambia kwani akifupisha ziara, atakuja kuwafufua wafu? Au wewe bwege wajua faida ya ziara?
Tuna mifano ya awamu ya tatu, nne, tano na hii awamu ya tano na nusu.
In corrupt countries, No one cares, kwa sababu hawaingizwi madarakani na Wananchi.