KERO Hata ukiwa na pump tabu ya maji iko pale pale kama asiyekuwa nayo kutokana na presha ndogo ya maji. Wizara ya Maji tuambieni ukweli

KERO Hata ukiwa na pump tabu ya maji iko pale pale kama asiyekuwa nayo kutokana na presha ndogo ya maji. Wizara ya Maji tuambieni ukweli

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Haya mambo ya maji kukatika tulisha yasahau iwe jua iwe mvua. " Kila mtu atakula kwa urwfu wa Kamba yake"
 
"Mtanikumbuka kwa mazuri".
Rest In Peace JPM.
Wakati wako maji na umeme havikukatika kila mahala kuilipokuwa na miundombinu yake.
 
Ikinyesha tu utasikia mpaka takwimu za maji, utasikia maji yaliyopo chini ya ardhi ni kadhaa, yaliypo chini ya ardhi ni trillions kadha. Na ujazo wa maziwa ni lita bilioni kadhaa.

Kwanza hatuisikii ile mitambo ya kuchimba visima yaliyosema itachimba visima kila kona.
Na mvua zikiwa nyingi...matope yanajaa kwenye mabwawa ya kuzalishia umeme!
 
Back
Top Bottom