Mshindi anachukua milion 213 ulipigiwa milion mia 110 kabla yakod watu wakapanda dau wakampa milion 269 apoteze ungeacha hela hizo ??? Tusimlaumu kuna maisha baada ya pambano ndio maana alikua anaondoka ulingon akiwa na furaha wala facial language haonesh kujutia
Mimi nafikiri walio simamia Kambi ya Mwakinyo Marekani ndio walio fanya iyo biashara. Mwakinyo awe mwangalifu hayupo kwenye mikono Salama.
Mwisho wa michezo michafu ni aibu Kwa bondia na Taifa Kwa ujumla.