Hata ungekua wewe ungefanyaje

Hata ungekua wewe ungefanyaje

samakiurembo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2021
Posts
445
Reaction score
689
Mshindi anachukua milion 213 ulipigiwa milion mia 110 kabla yakod watu wakapanda dau wakampa milion 269 apoteze ungeacha hela hizo ??? Tusimlaumu kuna maisha baada ya pambano ndio maana alikua anaondoka ulingon akiwa na furaha wala facial language haonesh kujutia
 
Kapigwa kihalali,hajauza game,kwa ufupi ameisha,apambane na mandonga tu
 
Mimi nafikiri walio simamia Kambi ya Mwakinyo Marekani ndio walio fanya iyo biashara. Mwakinyo awe mwangalifu hayupo kwenye mikono Salama.
Mwisho wa michezo michafu ni aibu Kwa bondia na Taifa Kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom