Hata usiku huu nimeangalia promotion madaraja kwa watumishi wa umma

maina23

Member
Joined
Jun 10, 2024
Posts
44
Reaction score
120
Naomba ajitokeze HR mmoja aseme modality ya upandishaji madaraja..

Wadau wahusika wataelewa tu kwa sababu kila ninapocheki profile level ya cheo iko vile vile ...saaa mimi kama mm sitajali HR yyt aseme kitu
 
Mdogo wangu lala upumzike, ondoa Shaka kama unastahili utapata haki yako... Ni jambo la muda tu utafurah...
By the way acha ushamba wa kuleta mambo yako binafsi ktk mitandao ya kijamii unajidhalilisha na inaonyesha hujitambui
 
Navyofahamu haijalishi profile imebadilika au haijabadilika kama wewe ni WA kupanda utapanda tu
 
Naomba ajitokeze HR mmoja aseme modality ya upandishaji madaraja..

Wadau wahusika wataelewa tu kwa sababu kila ninapocheki profile level ya cheo iko vile vile ...saaa mimi kama mm sitajali HR yyt aseme kitu
Ndugu wasi wasi wako nini mambo yenu ya kiutumishi ni siri je uko kazini hakuna watumishi wenzio ambao unaweza wauliza hizi tarifa wakakwambia watumishi wa umma mnaferi wapi haya mambo siyo ya kijamii yaje mpaka uku JF kwenye public kama hivi haya kesho HR wako akikushughulikia masualq ya kinidhamu unaanza tafuta huruma ooh nimeonewa sijui hivi sijui vile jifunzeni ethics za kazi zenu

Ikiwa Mh Rais anawambia subilieni mambo mazuri yanakuta asemi hadharani wewe nani unapata kiburi cha kuja kuuliza hapa mambo ambayo hata Mh Rais anaogopa yatamka hadharani

Kitu kingine punguza madeni umesikia hii ni dalili unapumulia mashine na tegemeo lako ni daraja ili ukakope aisee punguza kukopa kopa acha kuamini suruhisho la matatizo yako ni kukopa kisa unakopesheka acha kukopa kopa
 
Ndugu wasi wasi wako nini mambo yenu ya kiutumishi ni siri je uko kazini hakuna watumishi wenzio ambao unaweza wauliza hizi tarifa wakakwambia watumishi wa umma mnaferi wapi haya mambo siyo ya kijamii ya ja mpaka utuletee uku JF kwenye public kama hivi haya kesho HR wako akikushughulikia masualq ya kinidhamu unaanza tafuta huruma ooh nimeonewa sijui hivi sijui vile jifunzeni ethics za kazi zenu

Kitu kingine punguza madeni umesikia hii ni dalili unapumulia madhine na tegemeo lako ni daraja ili ukakope aisee punguza kukopa kopa acha kuamini suruhisho la matatizo yako ni kukopw tu
Hr gani anayefatilia watu asio wajua,haya tuambie huyu mleta hoja ni mtumishi wa kada gani na anapatikana mkoa gani?

Kipi kibaya hapo alichopost ambacho ni kinyume na kanuni za utumishi wa umma? Kama na wewe uko miongoni mwa top layer basi uelewa wako wa mambo uko chini sana..

Huwa nakubaliana na prof Asad aliwahi kusema watanzania wengi uelewa wao uko chini sana hadi inatia huruma.
 
Arafu ni HR siyo Hr kitu kingine na wewe punguza madeni maana tarehe za mishahara bado mnahoji promotion maana yake nini mna madeni yanawavuruga vichwa acha kukopa kopa ovyo kwaiyo na wewe ulifungua huu uzi ukijua utapata majibu unasema HR atajuaje wewe unadhani mtoa mada alivyo ajitambua nikimwambia njoo inbox nikupe details si anajaa uyu kiulaini maana ajielewi kashavulugwa na madenisi 😂😂😂
 
Punguza na wewe madeni maana tarehe za mishahara bado mnahoji promotion maanq yake nini mna madeni yanawavuruga vicha acha kukopa kopa
Uzuri hujawahi leta hata kisado cha unga kwangu na wala sijawahi kukuomba hata mia ya mafuta ya kula,hofu ya madeni yangu wewe unaitoa wapi?

Kwanza kuwa na uwezo wa kukopesheka ni heshima kubwa sana,hebu beba hayo masuluali yako uyapeleke benki uwaambie unataka sh 10,000 uone kama utapewa
 
Hicho kiburi cha nakopesheka ndio kinawaponza maana mnajikuta mmekopa mpaka sukari ya chai kwa mangi kitu ambacho cha msingi na huitaji ukikope maana kipo kwenye maisha yako ya kila siku ila unakopa matokeo yake ndio haya muda wa usiku kupumzika hamlali mnawaza promotion haaa haaaa
 
Wewe kinachukuuma ni nini? Ndugu zangu hawaumii,mke wangu haumii ila wee unaumia,are you half minded!?

Kwa taarifa yako huwa nakopa hadi vocha,kanitangaze!!
 
Huyo jamaa ndio maana nimemdharau. Asikushughulishe. Muache kama alivyo mkuu
 
Hr gani anayefatilia watu asio wajua,haya tuambie huyu mleta hoja ni mtumishi wa kada gani na anapatikana mkoa gani?

Kipi kibaya hapo alichopost ambacho ni kinyume na kanuni za utumishi wa umma? Kama na wewe uko miongoni mwa top layer basi uelewa wako wa mambo uko chini sana..

Huwa nakubaliana na prof Asad aliwahi kusema watanzania wengi uelewa wao uko chini sana hadi inatia huruma.
Unaunga mkono taarifa za kiutumishi kuanikwa JF?Hajielewi.Amekosa watumishi wenzake awaulize?
 
Taaarifa gani za kiutumishi zimewekwa hapo,hebu tuoneshe,hivi wewe unazijua kweli taarifa za kiutumishi?
Mwanzo wa ngoma ni lele!Ameanza kidogokidogo,mwisho atajiachia na kuandika vitu bila mipaka.Mdekeze/muendekeze tu.Kama kupandishwa daraja au vinginevyo,atulie na kusubiri.Mbona muda bado?Halafu,anawaogopa maafisa utumishi wake?Asiwaogope,awaheshimu.Hapo alipo siyo shule.Ni taasisi inayomtambua kama mwenzao.Si mali ya mtu mmoja.Aende kwa nidhamu kwa HRs na aombe kueleweshwa tu.Vamos!
 
Nimekwambia unitajie taarifa za kiutumishi ni zipi hutaki,unabaki kumtisha mtu,mtu akiuliza modality ya upandishaji madaraja kwako wewe ni taarifa za kiutumishi?

You need a lesson my friend,mara ngapi humu watu huwa wanalalamika kuchekewa kwa mshahara nazo ni taarifa za kiutumishi?

𝕎𝕒𝕥𝕒𝕟𝕫𝕒𝕟𝕚𝕒 𝕨𝕖𝕟𝕘𝕚 𝕦𝕖𝕝𝕖𝕨𝕒 𝕨𝕒𝕠 𝕟𝕚 𝕞𝕕𝕠𝕘𝕠 𝕤𝕒𝕟𝕒,𝕚𝕟 𝕡𝕣𝕠𝕗.𝔸𝕤𝕒𝕕'𝕤 𝕧𝕠𝕚𝕔𝕖
 
Ushauri/swali(?);Ameanza kwa kuwauliza HRs wake?JF siyo encyclopaedia kwamba kila akitakacho,bila mipaka,atapewa.Tuwe na busara.Tutaanza kuulizana hadi namna ya kufunga "mikanda" sasa!Uking'ang'ana uoneshwe tu taarifa za kiutumishi wakati nimetoa tahadhari ya taarifa za kiutumishi,kwa kuzingatia viapo vya utumishi,zisianikwe bila sababu utakuwa huitendei haki akili yako,"mwalimu"!
 
😂😂 𝕜𝕦𝕡𝕒𝕟𝕕𝕒 𝕕𝕒𝕣𝕒𝕛𝕒 𝕟𝕚 𝕥𝕒𝕒𝕣𝕚𝕗𝕒 𝕫𝕒 𝕜𝕚𝕦𝕥𝕦𝕞𝕚𝕤𝕙𝕚?
 
Siyo za kiutumishi kwa sababu anayepandishwa hahusiani na utumishi.Si ndivyo,"mwalimu "?😂😂😂
 
Back
Top Bottom