DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Sio Arafu ni Halafu mbona mnsharibu sana kiswahili..Arafu ni HR siyo Hr kitu kingine na wewe punguza madeni maana tarehe za mishahara bado mnahoji promotion maana yake nini mna madeni yanawavuruga vichwa acha kukopa kopa ovyo kwaiyo na wewe ulifungua huu uzi ukijua utapata majibu unasema HR atajuaje wewe unadhani mtoa mada alivyo ajitambua nikimwambia njoo inbox nikupe details si anajaa uyu kiulaini maana ajielewi kashavulugwa na madenisi πππ
Mkuu Uko sawa Kabisa na nimependa Hoja zako Unatoa Hoja na Kuhoji Bila MihemkoNimekwambia unitajie taarifa za kiutumishi ni zipi hutaki,unabaki kumtisha mtu,mtu akiuliza modality ya upandishaji madaraja kwako wewe ni taarifa za kiutumishi?
You need a lesson my friend,mara ngapi humu watu huwa wanalalamika kuchekewa kwa mshahara nazo ni taarifa za kiutumishi?
πππ₯πππ«ππππ π¨ππππ π¦ππππ¨π π¨ππ ππ πππ ππ π€πππ,ππ π‘π£π π.πΈπ€ππ'π€ π§π πππ
Asante kwa kunitambua kuwa mimi mwalimu,hebu niambie nawewe taaluma yako,maana hujui kipi ni kipi,Harafu elewa neno taarifa za kiutumishiSiyo za kiutumishi kwa sababu anayepandishwa hahusiani na utumishi.Si ndivyo,"mwalimu "?πππ
Mimi ni mbeba mizigo stendi ya Magufuli.Kuna kitu kinakupa shida.Ngoja nikuulize swali la kijinga:-Asante kwa kunitambua kuwa mimi mwalimu,hebu niambie nawewe taaluma yako,maana hujui kipi ni kipi,Harafu elewa neno taarifa za kiutumishi
Ni jibu jema.Siwezi kuandika "nadhani".Ndugu yangu mwalimu nikiandika taarifa za kiutumishi anachanganya na taarifa za siri.Kila kimoja kiwe sehemu yake.Wote Mko sawa ila Tatizo kuenda Mmoja anaamini kuwa Mleta Mada Kajaribu Kutoa taarifa za Siri au Kuvunja Miiko ya Maadili ya Utumishi kwa kuleta Wazi na kuhoji modality ya Upandishwaji wa Daraja kwa watumishi...
Kwanza kabisa Upandishwaji wa Daraja wa Mtumishi unaongozwa na Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma (Standing order for Public servants 2009) kanuni namba D.50 na D.51..
View attachment 3019797
NA Mtu hapandishwi Daraja kama Cohort series au Kwamba walioingia mwaka mmoja au mwezi mmoja wote wanastahili kupanda Daraja kwa kuwa ni Cohort moja..
Appointing Authority itaamua Kama una sifa au Vigezo vya kupandishwa Daraja baada ya Kuona una sifa itapeleka Maombi ya wewe Kuwa approved kupandishwa na itapeleka maombi hayo kwenye Baraza la Madiwani..
Baraza la madiwani likipitisha Basi utapewa Barua ya Kupandishwa Huku ukitakiwa Kuwa ndani ya Uangalizi(Probation) na kama ukivunjs miiko utarudi katika nafadi yako ya Zamani..
NB: Ni marufuku kudai Kupandishwa Daraja kwa HR wako hata kama Ni haki yako, Unaruhusiwa kumkumbusha ila sio Kudai kupanda Daraja hiyo iko chini ya Standing order 2009 (Kanuni za kudumu za utumishi wa Umma) kanuni D53 na D54
View attachment 3019801
HaaΓ£a,wacha nisipoteze muda,nina kipindi muda huuMimi ni mbeba mizigo stendi ya Magufuli.Kuna kitu kinakupa shida.Ngoja nikuulize swali la kijinga:-
-Unaweza kunipa mfanano wa nyumba na ofisi halafu hapohapo ukanipa tofauti za hivyo viwili?Tutapata jibu tu "mwalimu"!
NB;Walimu wana tabia (siyo asili)ya ubishi tu.
Asante mwalimu kwa kujali wito wako.πHaaΓ£a,wacha nisipoteze muda,nina kipindi muda huu
siye tumehoji kwanini anakuja hapa kuuliza mambo yake binafsi na boss wake kinyume na madili ya kazi yake, umeeandika sana na attachment kibao mwisho wa siku mleta mada ajapata jibu ndio wewe na mleta mada mjue si kila tarifa unaweza ipata JF japo tarifa zipo na majibu watu hapa hapa JF watu wanayo sema si mda sahihi wakuzitoa wametulia kusubili wenye mamlaka wazitoe hizo tarifaWote Mko sawa ila Tatizo kuenda Mmoja anaamini kuwa Mleta Mada Kajaribu Kutoa taarifa za Siri au Kuvunja Miiko ya Maadili ya Utumishi kwa kuleta Wazi na kuhoji modality ya Upandishwaji wa Daraja kwa watumishi...
Kwanza kabisa Upandishwaji wa Daraja wa Mtumishi unaongozwa na Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma (Standing order for Public servants 2009) kanuni namba D.50 na D.51..
View attachment 3019797
NA Mtu hapandishwi Daraja kama Cohort series au Kwamba walioingia mwaka mmoja au mwezi mmoja wote wanastahili kupanda Daraja kwa kuwa ni Cohort moja..
Appointing Authority itaamua Kama una sifa au Vigezo vya kupandishwa Daraja baada ya Kuona una sifa itapeleka Maombi ya wewe Kuwa approved kupandishwa na itapeleka maombi hayo kwenye Baraza la Madiwani..
Baraza la madiwani likipitisha Basi utapewa Barua ya Kupandishwa Huku ukitakiwa Kuwa ndani ya Uangalizi(Probation) na kama ukivunjs miiko utarudi katika nafadi yako ya Zamani..
NB: Ni marufuku kudai Kupandishwa Daraja kwa HR wako hata kama Ni haki yako, Unaruhusiwa kumkumbusha ila sio Kudai kupanda Daraja hiyo iko chini ya Standing order 2009 (Kanuni za kudumu za utumishi wa Umma) kanuni D53 na D54
View attachment 3019801
Habari REJESHO HURU !siye tumehoji kwanini anakuja hapa kuuliza mambo yake binafsi na boss wake kinyume na madili ya kazi yake, umeeandika sana na attachment kibao mwisho wa siku mleta mada ajapata jibu ndio wewe na mleta mada mjue si kila tarifa unaweza ipata JF japo tarifa zipo na majibu watu hapa hapa JF watu wanayo sema si mda sahihi wakuzitoa wametulia kusubili wenye mamlaka wazitoe hizo tarifa
Mkuu bora ungefupisha mada kwa kukaa kimya,unavyoendelea kubishana unajiaibisha na pia unaidhalilisha hata hiyo picha Rais kwenye Avatar yako.Nimekwambia unitajie taarifa za kiutumishi ni zipi hutaki,unabaki kumtisha mtu,mtu akiuliza modality ya upandishaji madaraja kwako wewe ni taarifa za kiutumishi?
You need a lesson my friend,mara ngapi humu watu huwa wanalalamika kuchekewa kwa mshahara nazo ni taarifa za kiutumishi?
πππ₯πππ«ππππ π¨ππππ π¦ππππ¨π π¨ππ ππ πππ ππ π€πππ,ππ π‘π£π π.πΈπ€ππ'π€ π§π πππ