Hata utaratibu wa kuwakata Wabunge wa Chadema Hela za kuchangia Chama direct kutoka kwenye Mishahara kama PAYE Bunge hutumia Kanuni gani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Uchaguzi wa Chadema ni Darasa zuri la kujifunza utendaji kazi wa mfumo wa Vyama vingi nchini

Kuna Wakati akiwa bungeni mh Lijualikali ambaye sasa ni Mkuu wa Wilaya alilalamima Mishahara yao kukatwa Tozo ya Chama direct badala ya Wao kulipwa Kwanza Halafu Kwa hiyari Yao ndio Wachangie Chama Chao cha Chadema

Hata juzi Wenje aliposema Tundu Lisu hajawahi kuchangia Chama mbunge wa zamani wa Chadema huko Serengeti mh Rioba alisema Wenje ni muongo Kwa sababu Wabunge walikuwa wanakatwa Mchango wa Chama direct na Bunge Kutoka kwenye Mishahara yao

Hizi deduction kikanuni zimekaaje?

Ahsanteni Sana

Nimekaa pale kuelimishwa 🐼
 
Hakuna kanuni yeyote inayo sema ivo pia niweke wazi kama mwamba ataendelea kubaki mwwnye kiti binafsi ntajiweka pembeni wabaki ma chawa wa kukiendeleza sakos
 
MH FAM amekabiwa juu Sana kiasi kwamba kila akitaka kugeuka anakutana na PUMZI YA MOTO,
MH TAL anatumia ile GUSA ACHIA TWENDE KWAO......
 
Mbowe ni kupe ameinyonya chsdema vya kutosha
 
Hako kazee mbowe ni kazee kenye tamaa ya madaraka
 
Mbowe awamu hii amepatikana. akinusurika atahakikisha anakusanya vya kutosha maana nina uhakika 2030 hatagombea tena kwa hili lililostua kwa ghafla.
Mbowe anaenda kukomba pesa zote atakiacha chama kikiwa kitupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…