Hata uwe deep zaidi kwenye dini hizi dhambi za asili huwezi kuziacha

Hata uwe deep zaidi kwenye dini hizi dhambi za asili huwezi kuziacha

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Dini/madhehebu yapo kwa ajili ya kutufanya tuishi kwa amani
na kutokutenda madhambi.

Lakini kuna vitu hata uwe deep kwenye dini huwezi kuviacha kwa wepesi yaani ni ngumu sana.
UZINZI
Aisee kuchomoka hapa sio rahisi unaweza ukatoka masjid au umetoka kwenye mfungo wa siku nzima lakini ukafanya uzinzi tu, si unamuona mke wa mchungaji wa free church?, mmemuona yule askofu Kilimanjaro? Kesi nyingi za ubakaji ni watu wa kaliba hiyo, kuchomoka hapo ni ngumu inabidi uwe na imani ya chuma.

HASIRA
hujawahi kuwaona wachungaji wakipigana? Au watu wakigombana misikitini? Muda mwingine nawaza hawa wanagombana alafu iweje?

Vitu vingine ni uchoyo, wivu, husdaa, tamaa, roho mbaya, ukorofi, usengenyaji n.k,

Zote hizo hata usali saana inahitaji nguvu ya ziada kuchomoka hapo.
 
Apo kwenye uzinzi hadi vibamia.
20221002_064540.jpg
 
Sasa ndo umtolee mfano mke wa mchungaji frii chachi[emoji3] ukorofi huo
 
Kama yule padri wa katoliki mbakaji
 
Back
Top Bottom