Mwenye masters asie na watu wa karibu (hasa ndugu) wa kumpa uzoefu na connections
Darasa la nne anaejua kuandika, kupiga hesabu za kawaida na kusoma
- chuoni kapewa assignments, test, presentation kibao lakini anamaliza chuo hana hata Tin Namba
- Hajui kutumia mfumo wa kusajili biashara mambo ni mapya kwake
- hana uzoefu ku negotiate na maafisa wa tra, jiji, n.k.
- tax clearance kwake ni maluwe luwe hadi afundishwe na wazoefu
- hajui kutumia mashine ya kutoa risiti
- changamoto za biashara kwake ni ngeni, anaweza kupigwa / kutapeliwa kirahisi maana ni mgeni
- inabidi aanze kutafuta connections from scracth na kutumia mda mrefu kujenga imani
Darasa la nne anaejua kuandika, kupiga hesabu za kawaida na kusoma
- Ndugu zake wamekaa nae site / dukani / ofisini kwa miaka nane kumpa uzoefu
- wanaenda wote kujumua mzigo anayajua machimbo na kajenga mazoea na wauzaji
- wanavyoenda kufatilia mzigo bandarini baada ya muda anaweza kutumwa mwenyewe kufatilia
- anavijua vibali na leseni
- changamoto za biashara anaziona live na jinsi zinavyotatuliwa
- n.k.