Hata uwe na masters ya masoko au business ni ngumu kumfikia darasa la nne mwenye ndugu wafanyabiashara wa kumpa uzoefu na connections

Hata uwe na masters ya masoko au business ni ngumu kumfikia darasa la nne mwenye ndugu wafanyabiashara wa kumpa uzoefu na connections

hata kubaki mtaani haina guarantee kama huna ndugu wa kukushika mkono, unaweza kuishia kuwa na kioski miaka nenda rudi, mwenzako akimaliza chuo kama kaamua kufanya business ikiwa ana ndugu wa kumpa uzoefu na connections, baada ya muda anapita na gari yake kukuungisha peni kila akienda kufatilia ujenzi wa mjengo wake
Kote kuna umuhimu wake kutegemea na factors fulani ila hakuna direct formula kwamba upande upi ni bora kuliko mwingine.
Mtu mwenye elimu plus connection plus kujiongeza kibiashara anatoboa.
Lakini pia aliyeishia darasa la 7 akaingia kwenye biashara mapema yuko na timeframe kubwa kwenye kujifunza/kuizoea biashara+connections/capital+kujiongeza pia anatoboa,mtu huyu akikosa capital/connection ndio utamuona miaka na miaka anauza kiosk tu japo anaijua sana biashara lakini hana capital nzuri ya kuikuza biashara yake iende kwenye level nyingine
 
Unachoshindwa kuelewa hata huyu wa darasa la nne hicho anachofanya na alichofanya kwa miaka kadhaa ni Elimu...

 
Pamoja na changamoto nyingi za elimu yetu na zaidi kuwa na wahitimu wenye kutia shaka uhitimu wao, lakini ni vizuri tujue nini matarajio ya mtaala unaofundishwa kwa kozi husika.

Haitarajiwi mhitimu wa shahad ya uzamili awe mbobevu kwenye kutumia mashine au tax clearance procedure. Shahada za uzamili wa uendeshaji wa biashara (MBA) si za kumpa mhitimu ujuzi wa kuendesha. biashara ya genge.
Anatakiwa kujua kila kitu hata basics tu, otherwise atakuwa robot
 
Back
Top Bottom