Hata uwe na masters ya masoko au business ni ngumu kumfikia darasa la nne mwenye ndugu wafanyabiashara wa kumpa uzoefu na connections

Kote kuna umuhimu wake kutegemea na factors fulani ila hakuna direct formula kwamba upande upi ni bora kuliko mwingine.
Mtu mwenye elimu plus connection plus kujiongeza kibiashara anatoboa.
Lakini pia aliyeishia darasa la 7 akaingia kwenye biashara mapema yuko na timeframe kubwa kwenye kujifunza/kuizoea biashara+connections/capital+kujiongeza pia anatoboa,mtu huyu akikosa capital/connection ndio utamuona miaka na miaka anauza kiosk tu japo anaijua sana biashara lakini hana capital nzuri ya kuikuza biashara yake iende kwenye level nyingine
 
connections muhimu sana, mtu anawasiliana na ndugu zake moja kwa moja huko Guangzou China huwezi kuibeza
Acha kutafuta sababu za kujustify uvivu wako pambana mzee
 
Unachoshindwa kuelewa hata huyu wa darasa la nne hicho anachofanya na alichofanya kwa miaka kadhaa ni Elimu...

 
Anatakiwa kujua kila kitu hata basics tu, otherwise atakuwa robot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…