platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
- Thread starter
- #21
Ok kwa namna hiyo kichaa chake kitakuwa kinapanda na kushuka so kikitulia anakuwa na hamu ya mapenzi na kuelewana
Nafikiri hata kwa vichaa wa kawaida kuna wakati huwa wastaarabu sana....hujawahi kuwaona?
Haswa...ila kwa ugomvi wa mawe kaa mbali...kizuri kabisa hatukuwahi kusikia amembonda mke wake..sijui kwa sasa