Nsumba ltd
Senior Member
- Mar 19, 2024
- 133
- 299
Takribani yapata kama wiki 4 zilizopita nikaaamua kuwa mzalendo kupeleka kahawa zangu zilizokauka kwenye Amcos moja wapo wilayani Missenyi .
Karani alinipokea vizur akanisajili kwenye mfumo baada ya hapo akapima kilo hamsini kwa kila mfuko nikapata mifuko zaidi ya minne .lakini cha ajabu akapima kilo 3 akaziweka pembeni nikauliza hizo za nini? Akasema kahawa zina attendance ya kupungua wakija kupima tena
Mimi nikauliza si umepima kilo 50.1 kwa nini hujaweka excess? Je zikipimwa tena mimi nitaaminije maana hizi kahawa hazijaandikwa popote? Kiufupi mamlaka ziangalie huu wizi wa mchana imagine kilo 3×5000 =15000 hiyo ni kwa kila mkulima tutafika kweli