Hata wageni wameshajua kuwa Tanzania ni nchi ambayo watu wake wanaishi kwa mazingaombwe

Hata wageni wameshajua kuwa Tanzania ni nchi ambayo watu wake wanaishi kwa mazingaombwe

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo watu wanaishi kwa mazingaombwe.

Miujiza inayokuwa claimed kufanywa na hawa wachungaji ni mazingaombwe ambayo yako formalised na hakuna tofauti na yale ya akina mwanamarundi au power mabula.

Ndo mana hata akina prince dube au ateba nao wameenda kitafuta mazingaombwe eti ili kufunga mana wanawajua watanzania watafurahi kuwaona wakitafuta mazingaombwe hayo.
 
Hao wachungaji wako Tanzania tu!? Mbona hata nchi za dunia ya kwanza wana hayo mambo.
 
Afrika Magharibi iko juu ya Tanzania kwenye hilo.
 
Hao wageni wapimwe kama wana visonono na kaswende sugu kwanza kabla ya kuropoka.

Kumbukeni,Wageni kutoka Ulaya wanasemekana wana visonono na kaswende sugu. Tuwalinde wasichana na wanawake wetu.
 
Back
Top Bottom