comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Yani sikutarajia itaenda mbali hiviHatari, watu wamenunua mahitaj ya ndani as if kuna gharika la Nuhu
Sikutarajia kwamba maandamano yatazungumzwa had na watoto mitaani, yani mtaani maandamano yamekua maarufu kuliko uchaguzi,
ama hakika walioanzisha hii kitu mpaka hapa wamefanikiwa sana yani.
Hili bomu hata lisipolipuka kesho ipo siku, vichwani watu washajazwa sumu sana.
Huwezi kutoka wewe ni kunguru.Mimi nimeshatoka tayari muda huu, nasubiri muamke kesho asubuhi muongeze nguvu.
Tatizo mmekaririSikutarajia kwamba maandamano yatazungumzwa had na watoto mitaani, yani mtaani maandamano yamekua maarufu kuliko uchaguzi,
ama hakika walioanzisha hii kitu mpaka hapa wamefanikiwa sana yani.
Hili bomu hata lisipolipuka kesho ipo siku, vichwani watu washajazwa sumu sana.
SijakaririTatizo mmekariri
Ushawqhi waza mpk mabasi yanesitisha safari za mjini
Mimi lazima niwepoKwanini hausemi "kama tukiandamana ..." badala yake unasema "kama wakiandamana ..." Ukiwalenga kina nani hasa?
Haka kaungonjwa kakuwasubiria wale yaani kusubiri kutendewa, katatutoka lini?
SawaSijakariri