kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,528
- 6,856
Huko serikalini ni kama watu wamepanick hata hawaeleweki.
Sababu nikwamba hawaelewi washike lipi waache lipi.
Mambo ni mengi:
. Ukosoaji unaongezeka
. Utekaji unaendelea
. Shinikizo kutoka ndani na nje bado ni kubwa.
. Wanaitwa serikali bandia maana uchaguzi ulivurugwa.
Wasichokielewa serikalini ni kwamba .
Maridhiano yoyote.
Yasiyohusisha au kuzingatia mamia ya watu waliotekwa na kufichwa huko walikowaficha itakuwa ni mchezo wa kuigiza.
Principal ya maridhiano kuacha mioyo na dhamira safi na kuridhika kwa all the involved parts.
Janja janja yoyote na kutozingatia suluhu ya utekaji na wale waliotekwa itakua sawa na bure maana wote waliotekwa walikua wanapigania yale yale ya waandamanaji