Kuachiwa kwa wafungwa na mahabusu wa kisiasa huko ndiko pa kuanzia, akina Lissu watoke magerezani waje kwenye maridhiano. Kufanya maridhiano na watu baki huku wanasiasa wakubwa wa upinzani wakiwa ndani ni kazi bure, huko ni kutwanga maji kwenye kinu ili unga upatikane, mambo ni mengi kwa kweli ni shughuli pevu ila ni rahisi utashi wa kisiasa ukifanyika