Hata wanaume hulia

Hata wanaume hulia

Kawaida!
Kwangu mimi hutoa machozi nikiwa mazingira ya peke yangu nisionekane au usiku ninapolala hivyo inakua kimya kimya na amna wakujua

"mwanaume mashine"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Daah!! Kuna time inafika yanakukuta mpka unashindwa kabisa kuzia machozi.
Even men cry jamani acheni tu.
 
downloadfile.jpg
 
Men do cry because they have been strong enough to endure the pains inside them... When you become to strong for such a long time you have to cry to ease some pressure within inside you

Jr[emoji769]
 
I cried once or maybe twice... But I will never cry again [emoji848][emoji848][emoji848][emoji19][emoji19][emoji19][emoji177]

Jr[emoji769]
 
Juzi tu Mme wa hamida kalilia papuchilo, na kujigalagaza kwenye tope. Kweli men do cry😁😁😁😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji30][emoji30][emoji30][emoji144][emoji144][emoji144]
Juzi tu Mme wa hamida kalilia papuchilo, na kujigalagaza kwenye tope. Kweli men do cry[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom