Nice!!!Nyumba moja ilikuwa na panya wasumbufu wengi sana.Ili kuondokana na adha ya wale panya,jamaa wakatafuta nyama ya nguruwe,wakaipaka sumu kisha wakaitega ili panya wale.Walipoamka asubuhi wakakutana na karatasi imeandikwa;sisi sote ni waislamu hatuli kitimoto!
Nyumba moja ilikuwa na panya wasumbufu wengi sana.Ili kuondokana na adha ya wale panya,jamaa wakatafuta nyama ya nguruwe,wakaipaka sumu kisha wakaitega ili panya wale.Walipoamka asubuhi wakakutana na karatasi imeandikwa;sisi sote ni waislamu hatuli kitimoto!