Sina hakika kama kweli wewe upo CCM; pengine umebaki huko kiwiliwili tu, kifikra ulishakwenda Tanzania Mpya.Kwenye Filamu ya Godfather II, Kuna scene moja, Raia 'muasi' anajilipua kwenye gari na kuua Polisi wa Dikteta Batista.
Michael Corleone anawaambia Madon wenzie kuwa, 'waasi' watashinda. Wenzake hawakumuamini, usiku ule ule Batista akakimbia nchi. Na castro akatwaa Madaraka.
Hii picha inaeleza ujumbe mkubwa sana. Ukiweza kusoma alama za kisiasa, inakupa ujumbe mzito sana.
WanaCCM, lazima tujitazame upya. Kuna makosa makubwa ya kisiasa tuliyafanya toka 2019, matokeo yake tumeyaona sasa. Kwa miaka Mingi tumekuwa na compromising opposition nchini, we took it for granted, na imezalisha Militant Opposition ambayo inahimiza Mass Democratic actions (MAD).
MAD huwa hazimei siku moja, zinachukua muda kumea na kutoa matunda. Tabasamu la hao askari hapo, ni ishara kuwa Mbegu ya MAD, inaanza chipua mioyoni mwa watu.
Bado tuna muda, tuna muda wa kukaa mezani na Upinzani, bila hila wala ghiriba, tukakubali mabadiliko ambayo yatafanya upinzani nao uwe sehemu ya utawala wa kisiasa.
Unazuiaje watu haki ya kuchagua, halafu tutegemee mambo yawe kawaida tu?
Ukiniambia watu wooote walioko huko wanazidiwa akili na Samia (?);Samia hawezi kuvumilia kukaa na watu waliomzidi akili
Wanawanyoa kwa mstari.Sio kwa ubaya, jmn hivi mtu akiwa mahabusu harusiwi kuchana nywele au kunyoa nywele
Baba wa watu mbona Wana mwacha awe hivyo, ........
Mimi sija penda π³
NdioLissu ni mtumishi wa Mungu
Wenye akili watakuwa wanalitambua hilo.Lissu anawatetea wao ndo maana wana tabasamu pana
Ila bwana jela kazi anayo yule mzee presha ipo juu mno!
Huyu "Fara" Anayevaa Barakoa ya CCM Kila Wakati Atakuwa Mchaga Piwa.Kuna mambo huwa hayazuiliki. Huwa yanakuja tu au yanatokea tu kiasili.
Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye nyuso zao.
Achana na maneno yangu. Picha huongea maneno zaidi ya elfu. Jionee mwenyewe.
View attachment 3634933
Naamini hao maafande kisirisiri wanamkubali sana Lissu.
Bwana jela kaagizwa kuzuia hiyo huduma. Ref. Mahojiano ya yaliyopita.Sio kwa ubaya, jmn hivi mtu akiwa mahabusu harusiwi kuchana nywele au kunyoa nywele
Baba wa watu mbona Wana mwacha awe hivyo, ........
Mimi sija penda π³
Kwanini umehitimisha hivyo?Huyu "Fara" Anayevaa Barakoa ya CCM Kila Wakati Atakuwa Mchaga Piwa.
Hata Majaji wanafurahi Sana Lissu anavyotoa somo pale mahakamaniKuna mambo huwa hayazuiliki. Huwa yanakuja tu au yanatokea tu kiasili.
Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye nyuso zao.
Achana na maneno yangu. Picha huongea maneno zaidi ya elfu. Jionee mwenyewe.
View attachment 3634933
Naamini hao maafande kisirisiri wanamkubali sana Lissu.
Why not?! RAIS wetu wa TANGANYIKA MTARAJIWA...Kuna mambo huwa hayazuiliki. Huwa yanakuja tu au yanatokea tu kiasili.
Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye nyuso zao.
Achana na maneno yangu. Picha huongea maneno zaidi ya elfu. Jionee mwenyewe.
View attachment 3634933
Naamini hao maafande kisirisiri wanamkubali sana Lissu.
Labda "alitumwa" CCM sasa karudi kuwasilisha ripotiLakini swali muhimu zaidi ambalo hukuliuliza, na wengi itabidi waliulize, huyo "Msigwa" amefikafikaje hapo na kuwa katika hali hiyo.
Hata kaka yake Lissu au Heche na wengine wote hawajawahi kuwa na fursa kama hiyo.
Tafakari sana.
Tatizo la vyombo vya dola ni kufanya vitu wanavyo amriwa huku na wao wakijua moyoni kuwa haviko sawa.Yaani kila nikiiangalia hiyo picha nabubujikwa na machozi yanayoweza kujaza kisadolin π π.
Mwili wote unatetemeka utadhani nimepigwa shoti na transfoma ya bwawa la Mtera!
Mimi nasubiri tu kusikia Tundu Lissu katembelewa na rafiki yake 'Msigwa' gerezani Ukonga; na mazungumzo yake hayakusikilizwa na maaskari gereza kama ilivyo bainika kuwa huo ndio utaratibu wa kusikiliza kinachozungumzwa kila anapotemelewa gerezani.Labda "alitumwa" CCM sasa karudi kuwasilisha ripoti
Basi yawezekana nawe unaumwa maradhi yenye uhusiano na akili!! Kwanini ububujikwe na machozi kwa sababu ya picha??Yaani kila nikiiangalia hiyo picha nabubujikwa na machozi yanayoweza kujaza kisadolin π π.
Mwili wote unatetemeka utadhani nimepigwa shoti na transfoma ya bwawa la Mtera!
Barikiwa mkuu Nyani Ngabu tuko pamoja.Yaani kila nikiiangalia hiyo picha nabubujikwa na machozi yanayoweza kujaza kisadolin π π.
Mwili wote unatetemeka utadhani nimepigwa shoti na transfoma ya bwawa la Mtera!