PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Huko Karagwe, mkoani Kagera, shamrashamra za kampeni za mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, zimevutia siyo tu wakazi wa eneo hilo bali pia wageni kutoka Denmark waliokuwa wakifanya kazi zao maalumu katika eneo hilo.
Ripota wetu ameshuhudia wageni hao wakivutiwa na shangwe na hamasa ya wananchi wa Karagwe, kiasi cha kuamua kujiunga na umati wa Watanzania waliokuwa wakimuunga mkono Dkt. Samia.
Wakizungumza kwa furaha, wageni hao walisema wanaufahamu utendaji wa Dkt. Samia na wanatambua mchango wake mkubwa katika kuleta maendeleo nchini Tanzania.