Nikumbushe wanaogembea kiti cha Urais.Siku wakienda kuunga mkono na wapinzani wetu tuelewe na tuwaache pia sio tuwafukuze nchini.
All in all watani zangu Chadema Oktoba nitaenda kupiga kura.
Tapigia kura wale ninaoona ni bora zaidi ya wengine katika hyo nafasi husika.
Kwenye uraisi tampa SAMIA SULUHU HASSAN maana hana mpinzani katika hiyo nafasi huku pengine taangalia.