Hata wazungu wachawi!!

Hata wazungu wachawi!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Usifikirie bibi yako kuwa mchawi ukaona aibu hata wazungu wachawi na hawaoni aibu!!
 
Last edited by a moderator:
Aiyaa, kakakiiza wamei block, hebu fanya maarifa mengine basi.
Ila labda nikuulize swali kakakiiza, mbona hawa wazungu hawaangushwi na mapepo kama sisi waaafrika, kulikoni au mapepo ya kizungu ni mastaarabu sana?
 
Me mbona naona ubao mweupe bila matangazo kakakiiza ?
 
Usifikirie bibi yako kuwa mchawi ukaona aibu hata wazungu wachawi na hawaoni aibu!!

Mzee wewe ulidhani uchawi ni wa watu weusi tuu??? sasa hapa kuna mtoto wa mfalme
anaongea na wafu. na wamefungua shule ya kufundisha watu ujuzi huo.
Pia kila mwaka wana mkutano wa wachawi wote wa nchi. wanakusanyika kujadili mambo yao ya kichawi.
Wao wanaamini kuwa uchawi ni ideology kama ilivyo ideology yoyote ile. (iwe ya kidini au kisiasa)
 
Last edited by a moderator:
kwani ma vampire, dracula,animagus nk tuliyasikia kwa akina nani kwa mara ya kwanza?
 
hivi shetani si alikuwa malaika? na sijaona malaika anachorwa kuwa mwafrika bali mzungu. that is shetani ni mzungu, If that is so, wazungu ndiyo wachawi wakubwa.
 
hivi shetani si alikuwa malaika? na sijaona malaika anachorwa kuwa mwafrika bali mzungu. that is shetani ni mzungu, If that is so, wazungu ndiyo wachawi wakubwa.

kabisa
 
Back
Top Bottom