Hata wewe ulivyokuwa mjamzito ulifanya hivi....


kazidi, hebu mketishe chini na ukiwa na sura ya kiume ambayo hajawahi kuiona toka muanze mahusiano, kwa busara mueleze anavyokukwaza. Hata kama ni mimba hebu ajitahidi kidogo kutimiza wajibu wake labda kama ameshauriwa vinginevyo na daktari.

Endelea kutimiza wajibu wako.
 
Yah! ndo maana we have to do respect nyie viumbe sana,tutajitahidi lakini hilo la kupigwa ban kitandani sio issue kabisa mkuu...
 

well said mkuu! kumbe somtimes wanafanya makusudi au,nshasikia mmoja akisema hii mimba haimpendi baba yake...
 
Kuna wengine wanachukua nafasi hiyo kudeka kwa makusudi, kwani ni ujauzito wa ngapi?, inakubidi uwe mvumilivu sana muda huu hata mi mke wangu alinileteaga zengwe kama hizi lakini nilimpa kichapo akatulia, siyo lazima uwe na nyumba ndogo kwani ni muda mzuri kwako kupumzika, unafikiri mambo hayo ya kufanya kila siku?.
 
Kwanza hongera sana kwa kuwa Baba mtarajiwa na pia pole sana kwa yanayokukuta. Omba Mungu hali hiyo ipungue au itoweke kabisa vinginevyo unaweza kujuta hata usitake mtoto wa pili kwa kuhofia majaribu ya ujauzito. Kama hujui kupika basi muombe yeye akuelekeze nini cha kufanya kisha uvikorogekoroge hivyo hivyo ili mjichane kwa raha zenu.
 
Yah! ndo maana we have to do respect nyie viumbe sana,tutajitahidi lakini hilo la kupigwa ban kitandani sio issue kabisa mkuu...

ofcoz hilo la kupigwa ban kitandani inabidi lidiskasiwe kwa mapana na marefu as kama mwanaume hana subira walah anatafuta msaidizi.
 

BAK nimependa busara zako..
 
Reactions: BAK
ushasema ww binadam tunatofautiana sura maumbo mpk hisia ww vp?ndo anavojickia sasa,ucjilinganishe ww na wenzio shoga,kwnz ww ht uyo wa kumfanyia kicrani ulikua naye?yy ndo anae deka shosti wng uyu dada fitna.

jifunze kumsoma mtu kama yupo serious au anatania sio unaparamia tu! Pole!
 
Lol! Best inabidi tushirikiane maombi. Japo ya kibudha
 
well said mkuu! kumbe somtimes wanafanya makusudi au,nshasikia mmoja akisema hii mimba haimpendi baba yake...

Wanaposema kuwa hampendi fulani sio kwamba anakuwa anamchukia, ila anakuwa anakerwa na vitu fulani. I stand to be corrected kwa sababu sijawahi chukia mtu, sijawahi tapika, sikia kichefuchefu cha hovyo hovyo na kutema mate. Sijawahi kula udongo, mchele wala kucrave vitu vyakula maalum japo niliongeza preference kwenye kachumbari na samaki. Ila nilikuwa nalia sana, yaani nisiporidhika na kitu tu machozi, na nililia pale nilipokuwa peke yangu tu, yaani hata kama kuna kitu kimekera juzi, nilitafuta siku niliyokuwa peke yangu ili nilie, lol.

Infwakt, I enjoyed ma pregnancy.
 
Kwa makeke yote hayo, Inawezekana huo mzigo siyo wako na labda ni wa mwarabu. Maana Mimba za waarabu ndiyo hazitaki mi-perfume. Ikiwezekana mfanyie DNA analysis hata kabla hajajifungua ili upunguze migharama ya kulea mimba isiyokuwa yako.
 
pole sana me nakupa experience yangu wakati nina mimba,
1.nilikuwa sitaki apite mbele yangu kwani nasikia anaharufu kama ya beberu(mbuzi)
2.perfume zake zote nilikuwa sizipendi wakati nimezinunua mwenyewe
3.sitaki hata aniguse yaani hata akiniwekea mkono naona kama kiloba cha unga kiko juu yangu
4.halfu sina hamu ya ku duu hata kidogo.
taadhari.
hali hii ya mimba inatofautiana kati ya mtu na mtu haina maana kama mwingine anapendwa na mkewe basi ndio na wewe itakuwa hivyo aua anadeka ila vumilia ni kwa muda tu mwanzo mgumu..wanawake wengine kama walikuwa wanakula na kupenda waume zao haina maana na wako awe kama wao.
 

Kweli kabsa mwingine akiwa mjamzito anapenda muda wota awe na mume wake mwingine hataki hata kumsikia,wengine wanachagua vyakula wengine hawachagui wengine wanatema mate wengine hawatemi hali hizi zinatofautiana hasa wakati mimba ni changa miezi 3 ya mwanzo kwa hiyo mvumilie mkeo hajui alitendalo hata ukimwekea sura ya mbuzi hatakuelewa ni kipini tu kitapita
 

Kwa hali kama hiyo lazima nikukatie tiketi uende kwa mama Mkwe wako au wangu..lazima utanyooka, au nitaongea na afisa utumishi anipe safari ya kikazi hata kwa mwezi mmoja, anyway baadaye ulijifungua mtoto yupi? wa kike au wa kiume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…