Hata wewe ulivyokuwa mjamzito ulifanya hivi....

My wife ni mjamzito wa mwezi 1 tu! lakini visa na mikasa haviishi hapa ndani kwanza;
-Nilipigwa BAN kumsogelea tukiwa tumelaa usiku japo tunashare shuka moja.
-Jana nimeamka asubuhi nikakuta perfume zangu zote hazipo kwenye dressing kuuliza jibu "sijui"
-Kila nikifika home jioni nakuta keshalala hata kula hali ati ye kashiba tangu ale mchana akiwa job.
-Ameniambia ana hamu ya kula chakula nilichopika mimi,maskini mimi kupika yenyewe anajua kabisa sijui lakini anataka nianze kuzama kitchen kukorofisha msosi.
-Hasira sasa ni balaa yaani ananipeleka kama katoto kadogo mpaka sometime najiuliza nishakuwa zoba nini?

Mmmmmmmh nahitaji pole,
Kwanza nafikiria nitatoboa kweli mda wote huu uliobaki bila ku-do kweli?, Sababu dalili zote za kutokupewa zimeshawekwa wazi sana.
Ama saa ingine nafikiri nitafute kanyumba kadogo ama niungane na chama cha watumia soap aka mkonos?

Pili nawaza what will be the next movie? sababu kila kukicha anakuja na mpya.

Tatu naomba mungu asije akanipa masharti ya kulala chini coz hali haieleweki chochote naweza ambiwa.

Ebu naomba ushauri wenu hapa wababa wenzangu.Kama nanyi mlipitia haya.
Na we mdada ebu niambie ulikuwa hivi ulipokuwa mjamzito?

Lazima utapata mtoto wa kike, na usipoangalia anaweza baadaye kuteuliwa mbuge wa viti maalumu tena vya CCM
 
Wakat anakukatia mauno hadi ukampa mimba ulikua unategemea nin?

Hapa ni JF home of the Great Thinkers...ukiongea hivi wakati mwenzio ana tatizo na tukiangalia una post 230 tunajua kabisa wewe unashindwa kutofautisha JF NA FB...
 
My wife ni mjamzito wa mwezi 1 tu! lakini visa na mikasa haviishi hapa ndani kwanza;
-Nilipigwa BAN kumsogelea tukiwa tumelaa usiku japo tunashare shuka moja.
-Jana nimeamka asubuhi nikakuta perfume zangu zote hazipo kwenye dressing kuuliza jibu "sijui"
-Kila nikifika home jioni nakuta keshalala hata kula hali ati ye kashiba tangu ale mchana akiwa job.
-Ameniambia ana hamu ya kula chakula nilichopika mimi,maskini mimi kupika yenyewe anajua kabisa sijui lakini anataka nianze kuzama kitchen kukorofisha msosi.
-Hasira sasa ni balaa yaani ananipeleka kama katoto kadogo mpaka sometime najiuliza nishakuwa zoba nini?

Mmmmmmmh nahitaji pole,
Kwanza nafikiria nitatoboa kweli mda wote huu uliobaki bila ku-do kweli?, Sababu dalili zote za kutokupewa zimeshawekwa wazi sana.
Ama saa ingine nafikiri nitafute kanyumba kadogo ama niungane na chama cha watumia soap aka mkonos?

Pili nawaza what will be the next movie? sababu kila kukicha anakuja na mpya.

Tatu naomba mungu asije akanipa masharti ya kulala chini coz hali haieleweki chochote naweza ambiwa.

Ebu naomba ushauri wenu hapa wababa wenzangu.Kama nanyi mlipitia haya.
Na we mdada ebu niambie ulikuwa hivi ulipokuwa mjamzito?

Isikupe shida. Ni kawaida tu hasa kwa miezi ya mwanzoni. Hata kama anadeka, kumbe amdekee nani?? Kwa hivyo hata tunda haliliki??? Pole sana.
 
Kwa hali kama hiyo lazima nikukatie tiketi uende kwa mama Mkwe wako au wangu..lazima utanyooka, au nitaongea na afisa utumishi anipe safari ya kikazi hata kwa mwezi mmoja, anyway baadaye ulijifungua mtoto yupi? wa kike au wa kiume?

NILIJIFUNGUA watoto mapacha,ila hii haijalishi kama ni watoto mapacha au ni mmoja hali ni ile ile kwa wanawake kwa viwango tofauti...
 
Wengi wanajifanyaga sana.Ni wachache sana wanafanya vihoja vya kweli vinavyotokana na ujauzito.Je wanaopata ujauzito bila kuolewa WanamdekeA nani?Vitu vya kweli ni kama kutapia au kichefuchefu mara kwa mara,kupenda chakula cha aina fulani.We sema kutofAutisha inakua vigumu sana
 
Pole kaka... Mimba huwa zinasumbua kwa kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo kwa wamama wengi. Baada ya hapo huwa hazisumbui sana..Vumilia tuu kidogo.!
 
NILIJIFUNGUA watoto mapacha,ila hii haijalishi kama ni watoto mapacha au ni mmoja hali ni ile ile kwa wanawake kwa viwango tofauti...
Mamy hongera sana kwa kupata mapacha, je walikuwa wa jinsia gani?
 
Wanaowaona wenye mimba kuwa wana pretend mi nawasamehe kwa kuwa hawajuhi wasemalo.

Mimi nikiwa ughaibuni...kuna dada wa kitanzania alikuwa mjamzito...mumewe yuko Tz...alikuwa ananisumbua kishenzi;
Mimi naishi kisela; lakini yeye siku akijisikia anapiga simu ..NK nipikie ugali nitakuwa kwako in 15 minutes. Yani na u busy wangu wote mdada alinifanya niwe napika almost daily.

Alipojifungua nilipumua. Nilikuwa siwezi kumtolea nje ; hata kumdanganya kuwa sipo kwa kuwa najua mambo ya mimba...mimba yake ilinipenda na kupenda chakula changu. Dada alikuwa jeuri kweli kweli na bahati mbaya nimemjua akiwa na mimba tayari. Kuna siku alinifokea mbele za watu wakati namzidi umri; ya nilijitahidi kuzuia hasira zangu maana nilijua huyu mimba inamsumbua...mumewe yuko mbali amenigeuza mimi ndiye mwenye huo mzigo.

Lakini alipojifungua nilikuja kugundua she was the most loving lady.

Sasa mi kama niliweza kuwa mtumwa wa huyu binti ambaye si ndugu yangu..,wewe unaona shida gani kumuudumia mkeo?

Ni miezi tisa tu.

Hakuna cha formular wala experience; kila mtu ana unique experience na wala hajuhi kuwa amekuwa na ghubu.

Mume wangu alikuwa analalamika kuwa nikiwa na mimba ni noma...lakini mpaka leo naona ananisingizia.

'There's no rose without a thorn'

Hakuna mtu ninaye mheshimu kama mjamzito hata kama hanihusu.
 
Sasa mi kama niliweza kuwa mtumwa wa huyu binti ambaye si ndugu yangu..,wewe unaona shida gani kumuudumia mkeo?Ni miezi tisa tu.

Wakati mwingine hata kama ni mkeo inaboa kimtindo..
Myself.. she didn't want to see me..but when i said let me give u a break she will can me badly!
 
Khaaaaa we unafikiri mimba mchezo?
Mbona hayo madogo?
Wengine sie ikifika saa nne ndo tunataka chips, mume atazisaka mpaka achanganyikiwe, asipopleta kilio kinapotokea hata sijui wapi.....

Vumilia....
 
Nina mtoto Wa mwaka, mie nilikukwaza mzigo Wa wife mpaka Siku Moja kabla ya kujifungua, it just happened she like sex, baada ya kujifungua no interest with sex, hii Ni shida pia, mi naona uende hivyo hivyo kibishi, ila huyo kazidi, alipania akutese akiwa na mimba na kakupata.

My wife ni mjamzito wa mwezi 1 tu! lakini visa na mikasa haviishi hapa ndani kwanza;
-Nilipigwa BAN kumsogelea tukiwa tumelaa usiku japo tunashare shuka moja.
-Jana nimeamka asubuhi nikakuta perfume zangu zote hazipo kwenye dressing kuuliza jibu "sijui"
-Kila nikifika home jioni nakuta keshalala hata kula hali ati ye kashiba tangu ale mchana akiwa job.
-Ameniambia ana hamu ya kula chakula nilichopika mimi,maskini mimi kupika yenyewe anajua kabisa sijui lakini anataka nianze kuzama kitchen kukorofisha msosi.
-Hasira sasa ni balaa yaani ananipeleka kama katoto kadogo mpaka sometime najiuliza nishakuwa zoba nini?

Mmmmmmmh nahitaji pole,
Kwanza nafikiria nitatoboa kweli mda wote huu uliobaki bila ku-do kweli?, Sababu dalili zote za kutokupewa zimeshawekwa wazi sana.
Ama saa ingine nafikiri nitafute kanyumba kadogo ama niungane na chama cha watumia soap aka mkonos?

Pili nawaza what will be the next movie? sababu kila kukicha anakuja na mpya.

Tatu naomba mungu asije akanipa masharti ya kulala chini coz hali haieleweki chochote naweza ambiwa.

Ebu naomba ushauri wenu hapa wababa wenzangu.Kama nanyi mlipitia haya.
Na we mdada ebu niambie ulikuwa hivi ulipokuwa mjamzito?
 
Ikifika miezi mi 3, Ye mwenyewe mi hamu ya ku do itakuja kwa fujo, ila angalia usije mharibu Mtoto, mie wangu miezi 3 now, kaniambia ki staarabu sana kuwa Perfume flan haipendi so nimeiacha,very simple, Game napewa Mwanzo mwisho
 
Pole sana kaka!
mi nijuavyo kuna wengine makusudi , wengine yanatokea kweli ila huyo wako kazidisha mwezi 1 mapema sana
mpeleke kwa wazazi akapumnzike
 
My wife ni mjamzito wa mwezi 1 tu! lakini visa na mikasa haviishi hapa ndani kwanza;
-Nilipigwa BAN kumsogelea tukiwa tumelaa usiku japo tunashare shuka moja.
-Jana nimeamka asubuhi nikakuta perfume zangu zote hazipo kwenye dressing kuuliza jibu "sijui"
-Kila nikifika home jioni nakuta keshalala hata kula hali ati ye kashiba tangu ale mchana akiwa job.
-Ameniambia ana hamu ya kula chakula nilichopika mimi,maskini mimi kupika yenyewe anajua kabisa sijui lakini anataka nianze kuzama kitchen kukorofisha msosi.
-Hasira sasa ni balaa yaani ananipeleka kama katoto kadogo mpaka sometime najiuliza nishakuwa zoba nini?

Mmmmmmmh nahitaji pole,
Kwanza nafikiria nitatoboa kweli mda wote huu uliobaki bila ku-do kweli?, Sababu dalili zote za kutokupewa zimeshawekwa wazi sana.
Ama saa ingine nafikiri nitafute kanyumba kadogo ama niungane na chama cha watumia soap aka mkonos?

Pili nawaza what will be the next movie? sababu kila kukicha anakuja na mpya.

Tatu naomba mungu asije akanipa masharti ya kulala chini coz hali haieleweki chochote naweza ambiwa.

Ebu naomba ushauri wenu hapa wababa wenzangu.Kama nanyi mlipitia haya.
Na we mdada ebu niambie ulikuwa hivi ulipokuwa mjamzito?

nitakutafuta nikiwa nayo unaonyesha kutii wajawazito angalie asikutume ukaibe bank
 
Back
Top Bottom