Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Uwekage akiba ya manenoYanga hawawezi kumuhitaji huyo pimbi....Yanga inamuhitaji Mwinyi Zahera Papaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwekage akiba ya manenoYanga hawawezi kumuhitaji huyo pimbi....Yanga inamuhitaji Mwinyi Zahera Papaaa
Itabid tumchukue na MOHaya sasa Bughat tunae, na Senzo tunae.
Ahsante ndug mwandishi.
Unadhani hicho ni kitu cha ajabu. Hata barabara nae mda wowote wakimtimua anakja jangwani.Itabid tumchukue na MO
YametimiaNi miongoni mwa makala za ovyo kabisa ambazo nimewahi kuziona katika maisha yangu...yaani mtu mropokqaji anasifiwa ??!! eti mtu anayewadhalilisha wengine anasifiwa??!! Mtu kama huyu nchi nyingine angekuwa tayari ameshafungiwa...Kwamba huyo jamaa bado yupo kwenye nafasi hiyo ni kutokana na mfumo mbaya siyo wa soka tu bali hata jamii nzima kwa ujumla wake...jamii yetu inayopenda mipasho, gossips, majungu na uropokaji..mfumo wetu ndio unaotaka watu wa aina hii...Hata yanga miaka siyo mingi walikuwa na mtu wa aina hiyo...hivi unadhani neno la 'wa kimataifa' lilianzia wapi?? 'wa matopeni' lilikujaje?? Watu wakawa wanapenda mipasho ya aina hii...badala ya kuchambua soka, jamii yetu inapenda habari za 'kukwea pipa'...Yaani watu wazima na akili zetu tunakaa kujadili vijiweni eti sasa 'timu yetu inapanda ndege'...it is no wonder soka ya Tanzania haitaendelea kamwe kwa staili hii...