Hata Yusuf Manji alipogombea Udiwani Mbagala alikuwa akitumia Chopa, inasaidia kuvuta watu mkutanoni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tunakumbushana tu kwamba hata Yusuf Manji wakati anagombea Udiwani kule mbagala alitumia usafiri wa chopa.

Chopa ni moja ya burudani katika mikutano ya wanasiasa kwani watu wengi hukusanyika kwenda kuishangaa. So Tundu Lissu kutumia chopa ni sawa tu na CCM inavyopendwa na wasanii akina Diamond.

Naibariki Siku ya uchaguzi 28/10/2020

Maendeleo hayana vyama!
 
Ushaingiza jero, jitahid kujibu jibu hoja za wapinzani buku 7 itafika
 
Hoja ya kitoto hii, unadhani Tanzania ya leo ni kama ya mwaka 1970. Chopa tunazioma kwenye Tv hata sisi wa vijijini. Hao wasanii ndio wanakusanya watu kwenye mikutano ya Ccm? Watu wanaenda kusheherekea yale mambo makubwa yaliyofanyika kwa miaka minne.
 
Hoja ya kitoto hii, unadhani Tanzania ya leo ni kama ya mwaka 1970. Chopa tunazioma kwenye Tv hata sisi wa vijijini.
Hao wasanii ndio wanakusanya watu kwenye mikutano ya Ccm? Watu wanaenda kusheherekea yale mambo makubwa yaliyofanyika kwa miaka minne.
Hahahaaaa..... hapa nazungumzia mbinu bwashee!

Ungekuwa ni mwanamichezo walau draft tu wala usingetokwa povu.....siasa ni sayansi!
 
Hakuna povu nililotoa. Nasema kweli tupu. Maana nikiangalia mikutano ya Ccm sioni mantiki ya Diamond uliyoisema hapo. Kwani Diamond alikuwepo Igunga au Katoro? Lakini watu walikusanyika.
 
Tatizo lako unaumia na Diamond......miye nimemtaja kama " kiwakilishi" tu hata ACT wazalendo wana wasanii wao Chaumma, Cuf, Nccr mageuzi nk nk
 
Mfano mfu...
 
asubuhi asubuhu umeshashika simu kuanza ujinga wako, mumeo unamuhudumia vyema kweli?
 
Da magu sio kbsa kampoteza huyu jamaa wakati alikuwa anatusaidia sana Kwenye ununuzi wa zao letu la mbaazi. Kutoka 350k mpka 70k kwa gunia Mungu tupe uvumilivu wa nafsi
 
Back
Top Bottom