johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tunakumbushana tu kwamba hata Yusuf Manji wakati anagombea Udiwani kule mbagala alitumia usafiri wa chopa.
Chopa ni moja ya burudani katika mikutano ya wanasiasa kwani watu wengi hukusanyika kwenda kuishangaa. So Tundu Lissu kutumia chopa ni sawa tu na CCM inavyopendwa na wasanii akina Diamond.
Naibariki Siku ya uchaguzi 28/10/2020
Maendeleo hayana vyama!