johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa..... hapa nazungumzia mbinu bwashee!Hoja ya kitoto hii, unadhani Tanzania ya leo ni kama ya mwaka 1970. Chopa tunazioma kwenye Tv hata sisi wa vijijini.
Hao wasanii ndio wanakusanya watu kwenye mikutano ya Ccm? Watu wanaenda kusheherekea yale mambo makubwa yaliyofanyika kwa miaka minne.
Hahahaaaa..... Manka namaanisha Chopa ya Lisu hapo kibaha maili moja!Dada unamaanisha nini ,fiesta la CCM
Hakuna povu nililotoa. Nasema kweli tupu. Maana nikiangalia mikutano ya Ccm sioni mantiki ya Diamond uliyoisema hapo. Kwani Diamond alikuwepo Igunga au Katoro? Lakini watu walikusanyika.Hahahaaaa..... hapa nazungumzia mbinu bwashee!
Ungekuwa ni mwanamichezo walau draft tu wala usingetokwa povu.....siasa ni sayansi!
Tatizo lako unaumia na Diamond......miye nimemtaja kama " kiwakilishi" tu hata ACT wazalendo wana wasanii wao Chaumma, Cuf, Nccr mageuzi nk nkHakuna povu nililotoa. Nasema kweli tupu. Maana nikiangalia mikutano ya Ccm sioni mantiki ya Diamond uliyoisema hapo. Kwani Diamond alikuwepo Igunga au Katoro? Lakini watu walikusanyika.
Tupo hapa maili moja tunamsubiri mshana jr!Umekosa hoja!
Hakuna povu nililotoa. Nasema kweli tupu. Maana nikiangalia mikutano ya Ccm sioni mantiki ya Diamond uliyoisema hapo. Kwani Diamond alikuwepo Igunga au Katoro? Lakini watu walikusanyika.Hahahaaaa..... hapa nazungumzia mbinu bwashee!
Ungekuwa ni mwanamichezo walau draft tu wala usingetokwa povu.....siasa ni sayansi!
Mfano mfu...Tatizo lako unaumia na Diamond......miye nimemtaja kama " kiwakilishi" tu hata ACT wazalendo wana wasanii wao Chaumma, Cuf, Nccr mageuzi nk nk
Hahahaaaa...... Pole team kiba!Hakuna povu nililotoa. Nasema kweli tupu. Maana nikiangalia mikutano ya Ccm sioni mantiki ya Diamond uliyoisema hapo. Kwani Diamond alikuwepo Igunga au Katoro? Lakini watu walikusanyika.
Mfano mfu...
Hivi kuna mwenye akili timamu huko? Nawaona mazombie tuNa hizi ndo hoja za chichiem.. mnasikitisha sana..