Video: Rais Samia ampisha kwa muda kukalia kiti cha Urais mwanafunzi aliyesema anatamani kuwa Rais

Video: Rais Samia ampisha kwa muda kukalia kiti cha Urais mwanafunzi aliyesema anatamani kuwa Rais

Nakumbuka siyo mara yake ya kwanza kuwapisha WATOTO. Lakini katu, hataki kuwapisha WATU WAZIMA wanaoutaka uraisi.
 
CCM maigizo ni kawaida yao miaka ya Uchaguzi,wengine wanakuna mpaka mpaka nazi mitaani
 
Huyo ndo rais wa kwanza kukaa madarakani ndani ya dakika tano(5)😂
 
Back
Top Bottom