Hataki katiba mpya iundwe

Hataki katiba mpya iundwe

Meno

Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
87
Reaction score
24
Wakuu ni juavyo mimi

Katiba ni mwongozo wa maisha ya watu wa kundi au jamii fulani, eneo fulani husika,katika kufikia malengo yao watakayo jiwekea kwenye hiyo katiba.

Sasa basi juu ya katiba mpya ya Tanzania
..Kufuatia hali tete inayo endelea bungeni na baadhi ya matamshi ya mawaziri na wabunge,

..Mchakato mzima wa uundwaji wa katiba mpya,

..Ukweli wa ni nani ana husika au kushiriki katika kupindisha au kunyoosha uundwaji wa katiba mpya,

Wadau naombeni michango yenu hivi ni nani au akina nani wanacheza rafu ktk hili, ili nini?
 
Wabunge wa ccm wakiongozwa na chama chao hawana utashi wa kuwa nchi yetu iwe na katiba makini yenye kujali maslahi ya nchi !!! Wao magamba wako zaidi kwenye maslahi ya chama kuliko nchi!!!
 
Back
Top Bottom