Hataki kupima ujauzito

Hataki kupima ujauzito

Usiogope dogo Mungu fundi watto hao ufananaga na mama zao trust me akuna kitu venye kitahariba
 
Sasa alikuomba umsaidie apate ujauzito na sasa anaogopa mtoto akifanana na wewe mume wake atamind? Duuh.

Ila adui wa mwanaume ni mwanaume. Kwahiyo umezini na mke wa mwanaume mwenzio ukaona haitoshi ukamwaga ndani kabisa na sasa mnataka mumsingizie mimba alee bao lako.
Duh na wewe una maneno hivi shem😊
 
Hivi,kuna watu physically ni watu,lakini kiundani,hamna kitu. Nahisi hata utumbo ulishaliwa na paka shume.
Mtu unaona uzinzi,mke wa mtu, unajiona mwanaume wa kweli. Haya, hongera kwa kazi nzuri na taarifa. Bila hata aibu!
 
Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja, kwa zaidi ya mwaka sasa, amekuwa na tatizo la kupata ujauzito kwenye ndoa yake kwa zaidi ya miaka mnne ya ndoa, na amekuwa akiniomba nimsaidie kupata ujauzito, kwa madai ya kuwa mumewe anatatizo la uzazi ila hajijui.

Sasa bhana baada ya kuusoma mzunguko wake kwa muda mrefu, nimegundua kuwa amepitiliza siku 5, hivyo nahisi ameshadaka, nimekuja na kipimo cha mimba amekataa amesema atapata presha Bure,mtoto akitoka amefanana na Mimi mume wake atajua na yy atafukuzwa, sijajua bado nia yake nini.

Je, anataka akutoe au sielewi?
kwani mumewe anakujua wewe?
 
Back
Top Bottom