Hataki Kuzaa na Mumewe sababu ana Sura Mbaya, anataka ambambikie kwa kuzaa na Handsome Boy

Mtagombna bure mkuu,lazma mwisho wa sku udai haki yako(damu yako)achana nae
 
Mimi siwezi fanya hilo ndugu yangu. HAIWEZEKANI... Ni upuuzi mkubwa halaf ni unyama pia. Ila nmejifunza neno kwa baadh ya wanawake. Ni wa kuwaangalia sana.hii ni roho ya kichawi kabisa.

Mtagombna bure mkuu,lazma mwisho wa sku udai haki yako(damu yako)achana nae
 
Chai za GuDume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ukizifuatilia story hizi za broo GuDume utakuta zina mafunzo makubwa hasa kwa sisi wanaume
 
Duuh! Hii Kali ya mwaka kwani kipindi anaumua kuolewa naye hakufikiria swala la watoto kuwa au kutokuwa cute? Anachokitafuta atakipata. Wanawake wa aina hii ndiyo wanapunguza imani ya wanaume kwa wanawake.
Siku likibumbuluka atatamani aridhi immeze.

Na nyie wanaume mnapotaka kuoa muwe makini msidhani pesa ndiyo kila kitu, pesa hainunui upendo wala amani jamani.
 
Hii ndo shida ya kumpenda mwanamke kizezeta zezeta...maisha yenu yote anakuona ww ni zezeta tu..
 
hizi ishakua nikama game, mwisho wa sku nilazima mmoja ashinde. mungu adeal nahabar nyingne izimambo atuachie tu, sio ajabu jamaa katumia mabavu ya pesa kubeba huyo kicheche xo unategemea atavuna nin?? acha akamletee watoto cute aje alee
 
Unaanza oooh mwanaume sio sura, ila sasa pale binti atapofanana na baba yake ndipo utaelewa maharage ni kiungo tu cha kande.
 
Kupata mume anaekupenda aisee halafu unamchezea hv jamaniii dah!
 
Daaah kweli dunia simama nishuke. Apambane na hali yake.

Mwambia aendele kula bata
 
Duuh kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…