Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,039
- 7,465
Sasa wote wamepata kwa bahati nasibu, basi kama mtu anaakili si unauza gari angalau ununue kiwanja.
Hahahahhaa!!!
Aseee, kwanini usitafute za kununua kiwanja kama ulivyotafuta za kununua gari??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wote wamepata kwa bahati nasibu, basi kama mtu anaakili si unauza gari angalau ununue kiwanja.
Kama umenipenda BADILI TABIA Shemeji yangu kipenzi, rudi ka-like post kisha u come this way LOL
Umemwona cacico hapa? Ni mtataje? sijamwona bado gfsonwin najua atakuja tu. Babu Asprin ako wapi?
Jaman maisha ya dar es salaam bila gari ni tabu as kwenye proffessional nyingine smartness ni muhimu sana, kwa usafiri wa daladala unaweza kwenda kwenye meeting na shati chafu tena na clients ukaonekana kituko, gari hadi million 7 to 10 unapata, but kiwanja gan itapata kwa bei hiyo harakaharaka, huyo mwenye nyumba ana matatizo ya akili but gari sio luxury need ni essential ndo maana tumenunua mapema, but kujenga needs some times, I plan to build my house around 5-7 years pole pole sasa mda huo wote nikakae wapi kama nisipopoanga.
Also nina imani kujenga sio kazi, kazi ni kupata kiwanja kizuri kwenye location unayopendelea kuishi.
Jaman magari sio utajiri,
Will come beib....very soon...okay?
Samahani dada Preta, wewe ni mchaga?
Kaka zenu nasikia ndo huwa hawaoi kabla hawajajenga kwao na mjini, ni kweli?
Samahani dada Preta, wewe ni mchaga?
Kaka zenu nasikia ndo huwa hawaoi kabla hawajajenga kwao na mjini, ni kweli?
hivi my dearest utaolewa na mkaka akupeleke kwao mkalale nyumba moja na baba mkwe? na kuoga bafu moja? bora ya wachaga aisee manake mkaka akioa na nyumba ya kulala anayo. sasa kweli nyumba moja kordo moja mkipigana mpera baba anakuskilizia???????? .........itabidi hapo basi hata miguno isiwepo, sipati picha baba anatoa dozi chumba namba moja mtoto naye chumba namba 2 asbh mkiamka vidume vinatoka na taulo kordoni na kusalimiana lol......
Ndo kusemaje gfsonwin.........................
exactly my dear it does not make sense at all
Ukosefu wa miundombinu kama maji, umeme na mawasiliano sehemu za pembezoni na miji inaweza kuwa sababu ya watu wengi kuendelea kuishi nyumba za kupanga. Unaweza kuwa na kiwanja sehemu ambayo miundombinu hiyo hakuna hivyo huwezi kuanza ujenzi haraka haraka. Watu wanapanga si kwamba hawana hela ya kujenga nyumba bali ni kuishi sehemu ambazo watapata huduma muhimu kwa urahisi.