Vichwa hawapigi mayowe hata sìku moja, alafu hakuna uhusiano kati ya matokeo ya Form 6 na GPA.mi mtambo kaka uliza mzumbe pcm 2006 niliwafanya nn
<br />asee broo nimecheka asee bro love is wicked ino ukufwa muyao se ndifwa haa ila chamoto ndikuluwona muyao
Ufinyu mwingine wa kufikiri huo, akili yako inaamini mtu wa Sociology hawezi kupata 4.3? Hapa hakuna cha course wala nini, maelezo yako "yanareflect", ulivyo mweupe kichwani, unabisha kwa kuwa umeamua kubisha. Weka transcript/provisional result basiungeuliza course we c unafikiri bachelor yako ya sociology
Ufinyu mwingine wa kufikiri huo, akili yako inaamini mtu wa Sociology hawezi kupata 4.3? Hapa hakuna cha course wala nini, maelezo yako "yanareflect", ulivyo mweupe kichwani, unabisha kwa kuwa umeamua kubisha. Weka transcript/provisional result basi
Umeona eeh sijui kila mtu akitaja matokeo yake itakuwaje? Athibitishe kwa maandishi basi kama hilo ndilo lilikuwa lengo la thread...!Mkuu nilianza kuhisi hapa kuna harufu ya majigambo toka mwanzo na kujitapa kwingi maana story yake na masuala ya GPA haikuwa na muunganiko
Umeona eeh sijui kila mtu akitaja matokeo yake itakuwaje? Athibitishe kwa maandishi basi kama hilo ndilo lilikuwa lengo la thread...!
<br /><i><span style="font-family: times new roman"><font size="4">Ogopa sana mwanamke anakupa pesa mwanaume. mara nyingi huwa si jasho lake maana mwanamke kutoa hela ya jasho lake thubutu. Mi huwa nawasikilizaga tu watu eti demu wangu ananipenda huyo, nikiomba pesa yoyote napewa! Kumbe anakuachia maradhi tu. Tena shukuru alikuambia tu mimba si yako angekuambia unangoma je? Kapime kaka ujicheki. Halafu siku nyingine uache kushobokea hela za mwanamke </font></span></i>
Washkaji nikiwa niko mwaka wa tatu kama moja ya vijana wakawaida sana tuka familia za kimaskini mtegemea boom,ila kwa kua ubongo ninao sitaduu mmoja alianza kuja fata lecture alianza kunifata sit yangu class baadae akaanza kuomba aje geto ,nilimkatalia kwa kua moja mi nlijua wagumu wenzangu wangeniaona sharobaro ikawa kero nkaamua kutopokea cm yake.
Sasa aliponiweza ni pale jina langu lilipo wekwa ubaoni ambao hatujalipa 150000 ya ada ,yule dada akanilipia, kiukwel alinisaidia ila nikawa mtumwa sasa akawa ananifata kijiwe mi nashindwa hata kura viloba vyangu namuonea soo. Yalitokea mengi akafanikiwa kunihamishia geto kwake magomeni ikawa ni mitungi na mikas na shule mi nilipiga GPA 4.3 YEYE 4.0 wakati mwaka wa kwanza na wapili hajawah kuvuka 3.0.
Me i neva knew wat z luv hivo nilichanganywa kikwell later, tulipo graduu akapata ujauzito cku moja akanitoa laki2 kuntaka nkawachek wazee nyororo kjj Iringa. Nikiwa njiani nikapokea ujumbe akinishukuru kumwonyesha mwanga wa maisha na kunieleza ile mimba si yangu na anaolewa soon, nililia kama mtoto ,washkaj nao wamenitenga wananita snich ......crudi dar tena ahhh
hamna lolote kama ipo ipo tuhukumla fresh chumvini hukuingia
ulikuwa mgeni ukaonyesha ugeni hadi chumbani akaona huna jipya.
mi nilipiga GPA 4.3 YEYE 4.0 wakati mwaka wa kwanza na wapili hajawah kuvuka 3.0.
mkuu hiyo kitu haiwezekani
3 + 3 + 5 = 11
11/3 =3.6
hiyo ndo maximum GPA ya huyo mdada anayoweza kupata (3.6) under all ideal conditions plus GPA ya 5.0 ya third year