Hatakupenda sitamani, utamu wa mapenzi umekula kwangu mimi..nahama Dar kujikomoa

Hatakupenda sitamani, utamu wa mapenzi umekula kwangu mimi..nahama Dar kujikomoa

asee broo nimecheka asee bro love is wicked ino ukufwa muyao se ndifwa haa ila chamoto ndikuluwona muyao

Fya kubanya molofu elaa..wakimama vaigusa mbumunje elaa...wina ludali ino wihosa kiki....neng'ino ndilipa Kibao,ndib.h.ta kwi Ikwega...upasele?usage swate imbitu..wina uhulo,Ngukotola nene

ungeuliza course we c unafikiri bachelor yako ya sociology
Ufinyu mwingine wa kufikiri huo, akili yako inaamini mtu wa Sociology hawezi kupata 4.3? Hapa hakuna cha course wala nini, maelezo yako "yanareflect", ulivyo mweupe kichwani, unabisha kwa kuwa umeamua kubisha. Weka transcript/provisional result basi

biashara ya shule ndo imeisha hivyo
nenda kwenu kafanye kazi/biashara jitegemee

Ufinyu mwingine wa kufikiri huo, akili yako inaamini mtu wa Sociology hawezi kupata 4.3? Hapa hakuna cha course wala nini, maelezo yako "yanareflect", ulivyo mweupe kichwani, unabisha kwa kuwa umeamua kubisha. Weka transcript/provisional result basi

Mkuu nilianza kuhisi hapa kuna harufu ya majigambo toka mwanzo na kujitapa kwingi maana story yake na masuala ya GPA haikuwa na muunganiko

Mkuu nilianza kuhisi hapa kuna harufu ya majigambo toka mwanzo na kujitapa kwingi maana story yake na masuala ya GPA haikuwa na muunganiko
Umeona eeh sijui kila mtu akitaja matokeo yake itakuwaje? Athibitishe kwa maandishi basi kama hilo ndilo lilikuwa lengo la thread...!

Umeona eeh sijui kila mtu akitaja matokeo yake itakuwaje? Athibitishe kwa maandishi basi kama hilo ndilo lilikuwa lengo la thread...!

Mengi anayoyaongelea hayaendani na msingi wa topic yake ila kwa kuwa anataka waambie watu kuwa alipata GPA ya 4 na sijui alikuw akipanga sana wakati akiwa alevel
Sasa ukiangalia na suala ya kuachwa na mpenzi au kubwagwa hakuna uhuisiano hata kama alimsaidia huyo dada shule hayo ni yao

Du ulishakua bushoke sasa unamkomoa huyo dada kwa kwenda kijijini! na umesoma kufuta ujinga mbona bado unaonyesha ukuufuta? Hey come-on chapa mzigo mwanaume ni kichwa sio mkia!

Ogopa sana mwanamke anakupa pesa mwanaume. mara nyingi huwa si jasho lake maana mwanamke kutoa hela ya jasho lake thubutu. Mi huwa nawasikilizaga tu watu eti demu wangu ananipenda huyo, nikiomba pesa yoyote napewa! Kumbe anakuachia maradhi tu. Tena shukuru alikuambia tu mimba si yako angekuambia unangoma je? Kapime kaka ujicheki. Halafu siku nyingine uache kushobokea hela za mwanamke

POINT!!

The Only, hivyo ili ndivyo walivyo mabinti ni wapuuzi sana na ushukuru ulikuwa hauchunwi... piga moyo konde anza maisha kivyako muondoe kichwani kabisa huyo shori....

Washkaji nikiwa niko mwaka wa tatu kama moja ya vijana wakawaida sana tuka familia za kimaskini mtegemea boom,ila kwa kua ubongo ninao sitaduu mmoja alianza kuja fata lecture alianza kunifata sit yangu class baadae akaanza kuomba aje geto ,nilimkatalia kwa kua moja mi nlijua wagumu wenzangu wangeniaona sharobaro ikawa kero nkaamua kutopokea cm yake.

Sasa aliponiweza ni pale jina langu lilipo wekwa ubaoni ambao hatujalipa 150000 ya ada ,yule dada akanilipia, kiukwel alinisaidia ila nikawa mtumwa sasa akawa ananifata kijiwe mi nashindwa hata kura viloba vyangu namuonea soo. Yalitokea mengi akafanikiwa kunihamishia geto kwake magomeni ikawa ni mitungi na mikas na shule mi nilipiga GPA 4.3 YEYE 4.0 wakati mwaka wa kwanza na wapili hajawah kuvuka 3.0.

Me i neva knew wat z luv hivo nilichanganywa kikwell later, tulipo graduu akapata ujauzito cku moja akanitoa laki2 kuntaka nkawachek wazee nyororo kjj Iringa. Nikiwa njiani nikapokea ujumbe akinishukuru kumwonyesha mwanga wa maisha na kunieleza ile mimba si yangu na anaolewa soon, nililia kama mtoto ,washkaj nao wamenitenga wananita snich ......crudi dar tena ahhh

sasa wewe ulitakaje, aende na wewe hadi anakoenda kuolewa? sasa umelelewa unalia hivyo je ingekuwa ni wewe ndio uliekuwa unalea halafu mwishowe uambiwe kwaheri mimba si yako na naolewa je ungejinyonga? (maana wahehe kwa kusema 'swela helaa' halafu unatafuta mlegesi unajitumbika!!!) chapa lapa endelea na maisha, halafu graduate unaenda nyororo kijiji kufanyaje>??? kujiajiri au???

Pole move on ndio mambo ya mahusiano cku hizi,wanawake wapo juuuu!!!!!

Aisee pole sana jomba kwa kuvamia mapenzi...Ila usihofu kuvurugika kwa mapenzi ni mwanzo wa mapenzi mapya.

Ngoma droo, pesa kwa GPA! Yaani kwa haraka haraka tu hapo mtu mzima unajiongeza wala hakuna haja ya kulalamika. Kwanza shukuru huyo alikuwa anakuhonga, ingekuwaje kama na pesa mngekuwa mnatumia za kwako? Sijui wangekuokotea wapi wewe!

Nashukuru wachangiaji wote naomba nifunge mjadala .tukafanya maendeleo .

Yaani mapenzi ndio yanakukimbiza Dar na wewe hebu jipange upya kimaisha kwani umeambiwa mwanamke yuko peke yake ?
hesabu hayo yalikuwa mapito katika maisha anza moja ..mikasa ya mapenzi ipo kibao wenzio wakikusimulia ya kwao utaona wako una ahueni
piga moyo konde

mi nilipiga GPA 4.3 YEYE 4.0 wakati mwaka wa kwanza na wapili hajawah kuvuka 3.0.

mkuu hiyo kitu haiwezekani
3 + 3 + 5 = 11
11/3 =3.6
hiyo ndo maximum GPA ya huyo mdada anayoweza kupata (3.6) under all ideal conditions plus GPA ya 5.0 ya third year

Back
Top Bottom