Nimefuatilia uhamasishaji wa mechi hizi za watani wa jadi (Ile iliyopita juzi juzi) na hii inayofanyika Jumapili hii kule Kigoma.
Maswali ni mengi kuliko majibu linapokuja suala la jukumu la Serikali kupitia Wizara ya Afya/Habari na michezo/BMT/TFF kuhamasisha wananchi wajikinge na hili janga la Corona.
Ni hataree tupu.