Hatari!hatari!hatari kubwa!

Hatari!hatari!hatari kubwa!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
1,979
this post was deleted by eliah kamwela

Jamani,kwa wale vijana ambao hawajaoa bado,nawatahadharisha juu ya kuoa mabinti kutoka vyuo vikuu(wasomi).
Kwa uchunguzi nilio fanya wadada wengi{si wote} wa vyuoni au wenye elimu kubwa wana dharau,jeuri na kiburi mno!
Wengi wao hawafai kuwa wake kwa kweli!Kwa hiyo vijana muwe makini kuoa huko!
USIJE JIKUTA UNAPANGIWA HATA ZAMU ZA KUNANIHII NA MKEWE!!!
ANGALIZO:SISEMI KWAMBA WASOMI WASIOLEWEW,BALI UMAKINI KTK UCHAGUZI
NAWASILISHA.
washing.gif

Elia Kamwela.... Naomba kujua haya.....

  1. Kabla sijasema lolote lile ningependa nijue wewe level yako of education ni ipi?
  2. Kwa nini ni muoga kiasi hicho kwa wanawake ambao waona wamekuzidi?
  3. Hio Research umefanyia wapi?
  4. Wewe ushawahi toka na mdada msomi?
Then tuendelee na Mjadala....
 
usikurupuke
hayo mambo tumeshayajadili mno hapa
kuna threads tele.....
na kuna watu wana wake zao wa miaka kadha na ni wasomi kupita maelezo
 
Jamani,kwa wale vijana ambao hawajaoa bado,nawatahadharisha juu ya kuoa mabinti kutoka vyuo vikuu(wasomi).
Kwa uchunguzi nilio fanya wadada wengi{si wote} wa vyuoni au wenye elimu kubwa wana dharau,jeuri na kiburi mno!
Wengi wao hawafai kuwa wake kwa kweli!Kwa hiyo vijana muwe makini kuoa huko!
USIJE JIKUTA UNAPANGIWA HATA ZAMU ZA KUNANIHII NA MKEWE!!!
ANGALIZO:SISEMI KWAMBA WASOMI WASIOLEWEW,BALI UMAKINI KTK UCHAGUZI
NAWASILISHA.
:washing:

Mmmh...hiyo research yako ilihusisha wanawake wangapi...dunia nzima au Tanzania pekee...Dar nzima au mtaani kwenu??
Kama wewe umekutana na wenye dharau POWLEEE..Hizo dharau,viburi na tabia zingine mbaya ni hulka tu ya mtu..wala havisababishwi na bachelors degree au Masters....#Sidhaaani.:smash:
 
DUH UMEPOTEA KIJANA...WISHING U DELIGHT X-MASS

Christmasflower-1bPMs-1qW-normal.jpg
 
duh!inawezekana eeeeh! ila insecurity to a grown man is not beautfull!
 
pole sana
kwa kufuta msg yako inadhihirisha ulivyokurupuka.
Uwe na siku kuu njema
 
Mie sina elimu ya chuo wala fomu six
lakini mme wangu hulalamika kwamba ni mbishi sana
mie ni mama wa nyumbani
sina mtu wa kunisaidia na nina watoto 3
akirudi anataka nimpokee
na kila kitu kiwe sawa hasa usiku
kanifungulia kiduka cha makorokocho mbele ya nyumbani kwetu
na muuzaji ni mie

analalamika mie mbishi sana sababu huwa nakataa kumpokea.
 
Jamani,kwa wale vijana ambao hawajaoa bado,nawatahadharisha juu ya kuoa mabinti kutoka vyuo vikuu(wasomi).
Kwa uchunguzi nilio fanya wadada wengi{si wote} wa vyuoni au wenye elimu kubwa wana dharau,jeuri na kiburi mno!
Wengi wao hawafai kuwa wake kwa kweli!Kwa hiyo vijana muwe makini kuoa huko!
USIJE JIKUTA UNAPANGIWA HATA ZAMU ZA KUNANIHII NA MKEWE!!!
ANGALIZO:SISEMI KWAMBA WASOMI WASIOLEWEW,BALI UMAKINI KTK UCHAGUZI

...Men of quality are always not threatened by educated Women.

Last edited by a moderator:
No research, no right to speak. Tupe credentials, research, statistics, methodology na previous peer review.

Mi kuna mmoja anapiga PhD yake namfuatilia, katulia kuliko most of these chickenheads.

Muhimu uwe na Daktari wako mwenyewe nyumbani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Na kweli ni hatari kuwa na watu wenye mawazo kama yakwako. Enheee we bintio hutomsomesha ehhh?
 
No research, no right to speak. Tupe credentials, research, statistics, methodology na previous peer review.

Mi kuna mmoja anapiga PhD yake namfuatilia, katulia kuliko most of these chickenheads.
Muhimu uwe na Daktari wako mwenyewe nyumbani.

Goodluck and all the best. Hahahahahahaha lol! Hapo kwenye nyekundu. 🙂🙂

maadamu alisema si wote basi mimi nitaoa mwenye masters of education ila si wa sociology ambao huwa ma feminist na wanajua sana ishu za gender
 
Back
Top Bottom