Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
this post was deleted by eliah kamwela
Jamani,kwa wale vijana ambao hawajaoa bado,nawatahadharisha juu ya kuoa mabinti kutoka vyuo vikuu(wasomi).
Kwa uchunguzi nilio fanya wadada wengi{si wote} wa vyuoni au wenye elimu kubwa wana dharau,jeuri na kiburi mno!
Wengi wao hawafai kuwa wake kwa kweli!Kwa hiyo vijana muwe makini kuoa huko!
USIJE JIKUTA UNAPANGIWA HATA ZAMU ZA KUNANIHII NA MKEWE!!!
ANGALIZO:SISEMI KWAMBA WASOMI WASIOLEWEW,BALI UMAKINI KTK UCHAGUZI
NAWASILISHA.![]()