Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
yani nimekoma haswa si mimi si mtoto hakuna atakayetumia, UTI kwa watoto wadogo haziishi kisa mapampers.mpendwa wala usichelewe achana kabisa na haya mataulo ya kutoka huko kwa wadosi si watu kabisa aisee.
Unajumuika kurudi kule walikopita mama na bibi dhetu eeh?.....wifi mie ngachoka kuchu na hii habari.
we acha tu wifi hali ni mbaya saratani mara fungus sijui itakuwaje daaah TP (shwari) itachukua nafasi
Hahahaha.....bora maamuzi magumu asee .......mie nna rafiki anasumbuliwa na fungus karibu mwaka wa 5 wifi......ametumia dawa zote na bado haponi......sazingine ndio haya mambo ya pad za kidhungu lol!
TBS, are they that quick in responding?
My Wife wangu nimuathirika wa hili yaani last week hatukulala alibleed usiku mzima na akasema haijawahi mtokea tangu amekua mkubwa, three days later ndio the same sms ikaingia kwene simu yake ikimjulis
ha na alinifahamisha kuwa ni pedi hizo hizo, nilitaka nianzishe uzi kuwajulisha but mambo yakawa mengi! TBS hoi
...Iliishiaje? I mean, the bleeding maana according to the report after just a few hours of bleeding you are History...How is Shem now?
ila jamani tunakufaaaaaaaaaaaaaaa hata haya makansa ya vizazi mengine yanatokana na haya haya. cha ajabu wiki ilopita tbs iliteketeza sanitary towels zisizokidhi viwango huko pugu. swali langu waliweza kweli kuhakikisha kwamba hazijaingia sokoni? na kwanini hawakusema aina ya pedi walizo teketeza?
baada ya kusoma ile bandiko imenikumbusha wiki iliyopita rafiki yangu alibleed mbaya kabisa tukampeleka hosp huwezi amini mabonge kama maini akalazwa siku 3 baada ya kufanya vipimo wakasema hakuna kitu alitumia dawa sasa sijui ndio hii issue ngoja nitamwuliza huwa anatumia vidude gani inawezekana hata hizi zilizozoeleka zina mtikisiko mmmmmhhh wifi kuna haja ya kuangalia hili jambo kwa undani aise
Hi sisters and brothers, please watch out there is this deadly sanitary pad which is making ladies bleed to death,its name is DARIES"its unique in looks,its a new product in stores and it has killed 53 ladies in Johannesburg recently"it makes your vagina bleed heavily and u will think its a heavy flow then at night u bleed to death without knowing it from chemicals used in the pad, pls watch what u buy... This is URGENT
siwatish ila ni ukweli na zimeshaingia sokoni hapa kwetu na mwenye kutaka ukweli zaid ani pm.
nawasilisha