Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Khaaa!......kweli mpendwa mie nishaanza kuogopa hata hizi tulizozizoea.......duuh kazi ipo wifi!.....rafiki amepona lakini? Muulize tujihadhari kabla ya hatari!
wifi amepona anatumia hizi hizi za kawaida aliambiwa amepata infection kali sana anaendelea vizuri......