Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,229 Reaction score 13,442 Aug 27, 2012 #61 sweetlady said: Khaaa!......kweli mpendwa mie nishaanza kuogopa hata hizi tulizozizoea.......duuh kazi ipo wifi!.....rafiki amepona lakini? Muulize tujihadhari kabla ya hatari! Click to expand... wifi amepona anatumia hizi hizi za kawaida aliambiwa amepata infection kali sana anaendelea vizuri......
sweetlady said: Khaaa!......kweli mpendwa mie nishaanza kuogopa hata hizi tulizozizoea.......duuh kazi ipo wifi!.....rafiki amepona lakini? Muulize tujihadhari kabla ya hatari! Click to expand... wifi amepona anatumia hizi hizi za kawaida aliambiwa amepata infection kali sana anaendelea vizuri......
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,947 Reaction score 8,419 Aug 29, 2012 #62 Blaki Womani said: wifi amepona anatumia hizi hizi za kawaida aliambiwa amepata infection kali sana anaendelea vizuri...... Click to expand... Daaah Mungu ni mwema wifi.....haya nambie nini kilitokea mpaka week end imepita bila mimi kujua?
Blaki Womani said: wifi amepona anatumia hizi hizi za kawaida aliambiwa amepata infection kali sana anaendelea vizuri...... Click to expand... Daaah Mungu ni mwema wifi.....haya nambie nini kilitokea mpaka week end imepita bila mimi kujua?