Hatari! Ingieni kwa tahadhari

Hatari! Ingieni kwa tahadhari

04019e0fd7857386d42612a7e900ca26.jpg

Hii picha inaeleza mengi ya kanisa la leo.
Watch out guys

Ni la leo tu, au la siku zote?
 
nyie jamaa bwana mnajidanga sana
Soma alama za nyakati usiifuate historia ila tumia historia kutambua njia sahihi ya kufuata ambayo mwisho wake in waheri. Open your mind and shine your eyes the end is coming but what is your position then? Usiwe na misimamo ya kijinga itakayo kuangamiza.
 
Hata Yesu alipokuja alifanya kazi na wavuvi, hakuhangaika na viongozi wa dini wazoefu. Viongozi hao kwa wivu wakamshtaki wakamuuwa

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Hivyo issue ya katoliki eti wazoefu, haina mashiko

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom