hatari kubwa hii

hatari kubwa hii

Haki sawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
4,781
Reaction score
3,210
nimepigiwa simu na kaka home muda huu ambao ni nane usiku tz kuwa kitilya kaingia club 84 na mawaziri 4 na mademu wao.
 
kawaida yao... posho wanazopata kubwa sana na hazikatwi kodi na wake zao hawazihitaji... wanataka nyama mbichi

hivi wanajua kitilya anaumwa lakini?
 
yaani huyo kitilya sura tu inaonekana hata kikombe cha babu kimedunda!! halafu na wewe saa nane usiku baada ya kutengeneza watoto na mywife wako unakazi ya kupokea simu...zima simu u concentrate na tendo la uumbaji bana..mbona mnatumia rasilimali vibaya nyie
 
tumezidi kuwa wabunifu wa habari...umejuaje kama hao mawaziri wanatembea na hao kina dada...kuongozana kuingia club haiwezi kuwa sababu tosha na kui label hatari.
 
Zile posho alizokuwa anatetea Pinda jana ndo huko zinakotumika
 
nimepigiwa simu na kaka home muda huu ambao ni nane usiku tz kuwa kitilya kaingia club 84 na mawaziri 4 na mademu wao.

Pinda jana alisema wazi kuwa hizi allowance zinatakiwa maana ktk utendaji wao mara nyingi mheshimiwa anatoka kikaoni akifika mlangoni anakuta kuna mtu/watu wanamsubiri inabidi aingize mkono mfukoni kuwatoa na chochote. Hivyo hawa waheshimiwa huenda walikuwa na bahati ya mtende wakakuta wanasubiriwa na warembo nje wakaamua kwenda club 84! Bongo tambarare bana
 
hujiulizi chenge alipopata ajali maisha club usiku saa 10 Alikua anatoka wapi?hawa baba zetu hawazeeki wanataka dogodogo
 
kawaida yao... posho wanazopata kubwa sana na hazikatwi kodi na wake zao hawazihitaji... wanataka nyama mbichi

hivi wanajua kitilya anaumwa lakini?[/QUOTE]
wewe ni daktari, lab tech, au pharmacist unaetoa siri za wagonjwa? au ni wale wenzetu wanaofanya diagnosis kwa kutazama sura, mimi huyu baba naumuona na sura yake hiohio tangu miaka ya 80,
sio kuwa namtetea na mambo yake hayo,
baba mtu mzima, na watoto wenye kwenda disco, hadi wamechachoka, ukionekana masaa hayo inabidi tujiulize inakuwaje.
sio uungwana,
kwanza watu wa position kama zake, huwa wakialikwa kwenye sherehe za kifamilia wanadai eti inabidi waondoke mapema kwa sababu za kiusalama, kisha uwakute club usiku wa manane!
 
huyu kila siku yupo club.
hata mijengo yake iko karibu na hiyo club.
 
yaani huyo kitilya sura tu inaonekana hata kikombe cha babu kimedunda!! halafu na wewe saa nane usiku baada ya kutengeneza watoto na mywife wako unakazi ya kupokea simu...zima simu u concentrate na tendo la uumbaji bana..mbona mnatumia rasilimali vibaya nyie
we kigogo mbavu zangu mie
 
Back
Top Bottom