wende
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 714
- 66
yaani huyo kitilya sura tu inaonekana hata kikombe cha babu kimedunda!! halafu na wewe saa nane usiku baada ya kutengeneza watoto na mywife wako unakazi ya kupokea simu...zima simu u concentrate na tendo la uumbaji bana..mbona mnatumia rasilimali vibaya nyie
Jamani Kigogo umenivunja mbavu mpaka basi...