Tetesi: Hatari kubwa inakuja kwa wanasiasa wa upinzani...

Tetesi: Hatari kubwa inakuja kwa wanasiasa wa upinzani...

Huu msemo wa kusema watanzania ni waoga ipo siku utaisha, kiwango cha uvumilivu kwa watanzania bado kiko juu[/QUOTE
]
yuko sahihi100%
kuthibitisha kuwa sisi sio waoga tuwe tumeshafanya maamuzi 26042018 iwe utekelezaji tu
 
Kutokana na mawazo yao, wale jamaa basi mkubwa akakutana kuangalia jinsi kazi ilivyokwenda kwa kipindi hiki cha wiki mbili kuisha. Hali kwa mujibu wao imekwenda vyema kwani mambo fulani ya msingi waliokusudia yamekwenda safi.

Hofu sasa inaonekana kuwa moja; kama kweli mioyo ya vijana inakusudia dhahiri, hilo liliondolewa shaka kwa hoja kwamba watanzania wengi ni waoga na pia wameweza kuwadhibiti vyema kisaikolojia kwa "intimidation" na mahubiri ya wimbo pendwa wa "amani".

Upande mmoja ukasema na kueleza juu ya kuhakikisha kuwatokomeza kabisa kwenye ramani, huku kukiwa na tumaini kubwa la kuwepo kwa jasusi mahiri ndani ya miliki ya upinzani. Wakasema kuwa ni jambo la muda kuweza kutumia kundi lao ndani ya chama kikuu cha upinzani; huku kwa upande chama cha pili cha upinzani profesa akazane. Asikate tamaa.

Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali hofu kwao ni kuhusu pia bunge la bajeti, madudu ni mengi sasa kuhakikisha kwamba hawasemi mule. Weka ndani; inatumika kwao.

Unajua ku-dab wewe!
Basi mpango ni kuhakikisha kuwa wale makasisi kwa kiwango kikubwa hawasemi; wale waliotelekzwa kuwa silaha! Basi anaongoza kama vile yeye ni kofia ndogo ya pili kwa cheo. Kwa majaliwa yeye na wengine kusikiliza na kucheza dab!

Asante.
Wachache sana watakuelewa Mkuu
 
Kila jambo linamwanzo na mwisho

Ngoma ivumayo sana huishia kupasuka

Yumkini watanzania niwaoga, ujasiri hutengezwa

Mateso wanayoyapitia ni tanulu kuwaandalia ujarisiri.

Ujasiri ambao siku mmoja utazaa matunda kukiangamiza chama chakijani.
 
Kile kizee kikizeeka kitakuwa kichawi ila kitamlithisha mpiga kombeo ndo mastermind

Great write akikutana na Great commentator
 
WAANGALIE MAHUBILI YA IJUMAA KUU YA ROMAN CATHOLIC NCHI NZIMA ..NDO WATAJUA KAMA WATAWAUA MAASKOFU WA ROMANI CATHOLIC
Mbona mahubiri yalikuwa kawaida tu. Jibuni tuhuma zenu maghaidi nyie
 
Mkuu watz wengi ni wajinga kupindukia hivyo wao kuwa waoga kutaendelea kwa muda mrefu!!!
Mtu asipofikiri kama nyinyi ni mjinga. Kundi la wahuni, wanaotaka kiki kwa kila jambo ambao hawaamini kujisimamia na kwao kushitaki serikali kwa wazungu
 
Mtu asipofikiri kama nyinyi ni mjinga. Kundi la wahuni, wanaotaka kiki kwa kila jambo ambao hawaamini kujisimamia na kwao kushitaki serikali kwa wazungu
Mbona povu jiiiiiiingi halafu mbona unajistukia? imekuchoma! ukweli unauma ehhhhhh wazungu hao hao Magufuli aliwaita "wanaume" si unakumbuka issue ya acacia, wazungu haohao Dotto James katibu mkuu wizara ya fedha kakutana nao kuwaomba wachangie bajeti ya nchi kwa mwaka ujao wa fedha, wazungu haohao wana miradi ya afya ambayo mingine ni kutahiri wanaume wa kitanzania!! wazungu haohao ikifika uchaguzi Tz inawaomba wasaidie kuipatia pesa za kufanikisha uchaguzi! aibu tupu hata uchaguzi Tz haiwezi kugharamia!!
 
Utamkuta MTU anaishi kwenye Nyumba ya tembe alafu anakunywa Maji pamoja na mifugo alafu unataka kumlazimisha kua aelewe uzuri wa rais wetu kua ndo mtetezi wake.
 
Hakuna mtanzania muoga, jidanganyeni. Sisi hatuna haja ya kufuata upepo wa kikundi kidogo cha waharifu tuharibu nchi yetu
Bashite utakatwa vipande vipande unasema watanzania waoga la hasha wanapenda amani
 
WAANGALIE MAHUBILI YA IJUMAA KUU YA ROMAN CATHOLIC NCHI NZIMA ..NDO WATAJUA KAMA WATAWAUA MAASKOFU WA ROMANI CATHOLIC
img_20180331_075320-jpg.729951
 
Kutokana na mawazo yao, wale jamaa basi mkubwa akakutana kuangalia jinsi kazi ilivyokwenda kwa kipindi hiki cha wiki mbili kuisha. Hali kwa mujibu wao imekwenda vyema kwani mambo fulani ya msingi waliokusudia yamekwenda safi.

Hofu sasa inaonekana kuwa moja; kama kweli mioyo ya vijana inakusudia dhahiri, hilo liliondolewa shaka kwa hoja kwamba watanzania wengi ni waoga na pia wameweza kuwadhibiti vyema kisaikolojia kwa "intimidation" na mahubiri ya wimbo pendwa wa "amani".

Upande mmoja ukasema na kueleza juu ya kuhakikisha kuwatokomeza kabisa kwenye ramani, huku kukiwa na tumaini kubwa la kuwepo kwa jasusi mahiri ndani ya miliki ya upinzani. Wakasema kuwa ni jambo la muda kuweza kutumia kundi lao ndani ya chama kikuu cha upinzani; huku kwa upande chama cha pili cha upinzani profesa akazane. Asikate tamaa.

Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali hofu kwao ni kuhusu pia bunge la bajeti, madudu ni mengi sasa kuhakikisha kwamba hawasemi mule. Weka ndani; inatumika kwao.

Unajua ku-dab wewe!
Basi mpango ni kuhakikisha kuwa wale makasisi kwa kiwango kikubwa hawasemi; wale waliotelekzwa kuwa silaha! Basi anaongoza kama vile yeye ni kofia ndogo ya pili kwa cheo. Kwa majaliwa yeye na wengine kusikiliza na kucheza dab!

Asante.
img_20180331_075320-jpg.729951
 
Nchi ipo kama haina Waziri Mkuu..

Yaani Bashite ndiyo kawa mtendaji mkuu wa kila jambo ovu..

Hakuna anayemkemea ..

Siku zinakuja ata Fujimori wa Peru, hakuamini alipoenda jela kwa kutumia madaraka yake vibaya..
 
Back
Top Bottom