Tetesi: Hatari kubwa inakuja kwa wanasiasa wa upinzani...

Huu msemo wa kusema watanzania ni waoga ipo siku utaisha, kiwango cha uvumilivu kwa watanzania bado kiko juu[/QUOTE
]
yuko sahihi100%
kuthibitisha kuwa sisi sio waoga tuwe tumeshafanya maamuzi 26042018 iwe utekelezaji tu
 
Wachache sana watakuelewa Mkuu
 
Kila jambo linamwanzo na mwisho

Ngoma ivumayo sana huishia kupasuka

Yumkini watanzania niwaoga, ujasiri hutengezwa

Mateso wanayoyapitia ni tanulu kuwaandalia ujarisiri.

Ujasiri ambao siku mmoja utazaa matunda kukiangamiza chama chakijani.
 
Kile kizee kikizeeka kitakuwa kichawi ila kitamlithisha mpiga kombeo ndo mastermind

Great write akikutana na Great commentator
 
WAANGALIE MAHUBILI YA IJUMAA KUU YA ROMAN CATHOLIC NCHI NZIMA ..NDO WATAJUA KAMA WATAWAUA MAASKOFU WA ROMANI CATHOLIC
Mbona mahubiri yalikuwa kawaida tu. Jibuni tuhuma zenu maghaidi nyie
 
Mkuu watz wengi ni wajinga kupindukia hivyo wao kuwa waoga kutaendelea kwa muda mrefu!!!
Mtu asipofikiri kama nyinyi ni mjinga. Kundi la wahuni, wanaotaka kiki kwa kila jambo ambao hawaamini kujisimamia na kwao kushitaki serikali kwa wazungu
 
Mtu asipofikiri kama nyinyi ni mjinga. Kundi la wahuni, wanaotaka kiki kwa kila jambo ambao hawaamini kujisimamia na kwao kushitaki serikali kwa wazungu
Mbona povu jiiiiiiingi halafu mbona unajistukia? imekuchoma! ukweli unauma ehhhhhh wazungu hao hao Magufuli aliwaita "wanaume" si unakumbuka issue ya acacia, wazungu haohao Dotto James katibu mkuu wizara ya fedha kakutana nao kuwaomba wachangie bajeti ya nchi kwa mwaka ujao wa fedha, wazungu haohao wana miradi ya afya ambayo mingine ni kutahiri wanaume wa kitanzania!! wazungu haohao ikifika uchaguzi Tz inawaomba wasaidie kuipatia pesa za kufanikisha uchaguzi! aibu tupu hata uchaguzi Tz haiwezi kugharamia!!
 
Utamkuta MTU anaishi kwenye Nyumba ya tembe alafu anakunywa Maji pamoja na mifugo alafu unataka kumlazimisha kua aelewe uzuri wa rais wetu kua ndo mtetezi wake.
 
Hakuna mtanzania muoga, jidanganyeni. Sisi hatuna haja ya kufuata upepo wa kikundi kidogo cha waharifu tuharibu nchi yetu
Bashite utakatwa vipande vipande unasema watanzania waoga la hasha wanapenda amani
 
 
Nchi ipo kama haina Waziri Mkuu..

Yaani Bashite ndiyo kawa mtendaji mkuu wa kila jambo ovu..

Hakuna anayemkemea ..

Siku zinakuja ata Fujimori wa Peru, hakuamini alipoenda jela kwa kutumia madaraka yake vibaya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…