Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini nyakati hizi watoto wengi wazuri wanaolewa au wana date na wazee au wastaafu..??????
Jibu ni rahisi....Wanaume ni wachache na wameshaoa...Wamebaki wavulana ambao hawawezi chochote.
1. Mvulana ananyoa kiduku, anavaa mlegezo, hataki kazi lakini anataka maisha mazuri...fala mkubwa
2. Mvulana hawezi kazi yoyote ngumu ya kutumia mikono...hata bulb pale nyumbani ikiungua hawezi kubadilisha....pumbaf sana
3.Kutwa kudhurura mtaani na begi mgongoni....sijui humo ndani ya hayo mabegi wanabebaga nini...ukisingiziwa ni supplier wa bangi utakataa...lofa mkubwa..
4. Basi ukikutana na hawa wavulana waliomaliza vyuo ndiyo kero kabisa...wao ni kudhurura kwa ndugu wenye pesa zao na kuwabana bana na familia zao....leo yupo Dar, kesho Arusha, kesho kutwa Mwanza....na wanachqgua miji ya kutembelea....hawataki kwenda Simiyu.
5.Wavulana hawawazi maisha....simu yake haishiwi bando la kuchati na warembo na kuposti picha mitandaoni wamechafua meza kwa chupa za pombe....wanawaza ngono na pombe....shubamiti
6.Ukimshauri atafute kibarua cha kufanya, anadai ana vyeti vyake...ipo siku atakuwa HR wa kampuni kubwa.....
7.Basi hawa wavulana wanasumbua sana kwa kuwapiga mizinga kaka au dada zao mpaka kero...kaka au dada yake anaishi chumba kimoja na mwenzi wake....mvukana mmoja mpumbavu anajibana hapo hapo.
Kwa hali hii kizazi cha miaka 3 ijayo kitatawaliwa na hawa wavulana....
Nawasikitikia dada zangu ambao hawajaolewa maana hawa ndiyo waume zao watarajiwa miaka 3 au 5 ijayo..
Wanaume wa kweli wameshaenda umri..wengi wao wako 30+ na wameshaoa..
Kundi kubwa limebaki la hawa wavulana ambao wako -29....
yaani ni shida....hakuna wanachokijua zaidi ya pombe, mademu na vumbi la Congo.
Kwa hali hii, warembo wakiolewa na wastaafu, tutawalaumu...?.Ni nani yupo tayari kuolewa na lijitu ambalo halikomai akili..? mvulana yupo radhi ashinde njaa lakini apate pesa ya kuweka bleach.
Wavulana badilikeni...mnaiangusha jinsia ya kiume.