Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
8. Wanapenda kula chipsi yai na soda (chipsi hawamalizi) ugali wakila wanaumwa.Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini nyakati hizi watoto wengi wazuri wanaolewa au wana date na wazee au wastaafu..??????
Jibu ni rahisi....Wanaume ni wachache na wameshaoa...Wamebaki wavulana ambao hawawezi chochote.
1. Mvulana ananyoa kiduku, anavaa mlegezo, hataki kazi lakini anataka maisha mazuri...fala mkubwa
2. Mvulana hawezi kazi yoyote ngumu ya kutumia mikono...hata bulb pale nyumbani ikiungua hawezi kubadilisha....pumbaf sana
3.Kutwa kudhurura mtaani na begi mgongoni....sijui humo ndani ya hayo mabegi wanabebaga nini...ukisingiziwa ni supplier wa bangi utakataa...lofa mkubwa..
4. Basi ukikutana na hawa wavulana waliomaliza vyuo ndiyo kero kabisa...wao ni kudhurura kwa ndugu wenye pesa zao na kuwabana bana na familia zao....leo yupo Dar, kesho Arusha, kesho kutwa Mwanza....na wanachqgua miji ya kutembelea....hawataki kwenda Simiyu.
5.Wavulana hawawazi maisha....simu yake haishiwi bando la kuchati na warembo na kuposti picha mitandaoni wamechafua meza kwa chupa za pombe....wanawaza ngono na pombe....shubamiti
6.Ukimshauri atafute kibarua cha kufanya, anadai ana vyeti vyake...ipo siku atakuwa HR wa kampuni kubwa.....
7.Basi hawa wavulana wanasumbua sana kwa kuwapiga mizinga kaka au dada zao mpaka kero...kaka au dada yake anaishi chumba kimoja na mwenzi wake....mvukana mmoja mpumbavu anajibana hapo hapo.
Kwa hali hii kizazi cha miaka 3 ijayo kitatawaliwa na hawa wavulana....
Nawasikitikia dada zangu ambao hawajaolewa maana hawa ndiyo waume zao watarajiwa miaka 3 au 5 ijayo..
Wanaume wa kweli wameshaenda umri..wengi wao wako 30+ na wameshaoa..
Kundi kubwa limebaki la hawa wavulana ambao wako -29....
yaani ni shida....hakuna wanachokijua zaidi ya pombe, mademu na vumbi la Congo.
Kwa hali hii, warembo wakiolewa na wastaafu, tutawalaumu...?.Ni nani yupo tayari kuolewa na lijitu ambalo halikomai akili..? mvulana yupo radhi ashinde njaa lakini apate pesa ya kuweka bleach.
Wavulana badilikeni...mnaiangusha jinsia ya kiume.View attachment 1179156
Mwenye kuelewa ataelewa...ila hali ya vijana ni mbayaUnahisi wamekuelewa??
wewe utakuwa ni mmoja wa hawa niliowazungumzia hapa....Hapo unazungumzia teenagers na dunia mzima wanasifa hizo ukitaka kuanza kuzungumizia wanaume Please at least anzia miaka 29+ na wala sio 29 kushuka chini..
Hata wanawake ukianza kuwazungumzia angalau basi 26+...
Nyie ndo mnatakaga mtoto akae kwenye kochi serious anangalia taarifa ya habari akicheza kidogo kofiiiiiii..Yaani mtu yupo kwenye balehe unamfananisha na wanaume watu wazima????
Ukweli mtupu...8. Wanapenda kula chipsi yai na soda (chipsi hawamalizi) ugali wakila wanaumwa.
9. Wakipanda kifuani goli moja,mbili wanaumwa tatu wanaanza kulalamika
10. Wanajua sehemu zote za bata kuliko sehemu za kupata hela
Yes...tena big YES...WAVULANA WAMEKUSIKIA MKUU
Thubutu!Kama watakusikia hawa wanyoa oooo,scruber,wakujipodoa,perfume zaidi ya dada zao,wala chips na mahindi kwa pilipili,mahedifoni sikioni SAA 24,wapiga milegezo,waongeaji kwa pua kama waamerika,wapiga bao moja la chips hoi taabani nk.Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini nyakati hizi watoto wengi wazuri wanaolewa au wana date na wazee au wastaafu..??????
Jibu ni rahisi....Wanaume ni wachache na wameshaoa...Wamebaki wavulana ambao hawawezi chochote.
1. Mvulana ananyoa kiduku, anavaa mlegezo, hataki kazi lakini anataka maisha mazuri...fala mkubwa
2. Mvulana hawezi kazi yoyote ngumu ya kutumia mikono...hata bulb pale nyumbani ikiungua hawezi kubadilisha....pumbaf sana
3.Kutwa kudhurura mtaani na begi mgongoni....sijui humo ndani ya hayo mabegi wanabebaga nini...ukisingiziwa ni supplier wa bangi utakataa...lofa mkubwa..
4. Basi ukikutana na hawa wavulana waliomaliza vyuo ndiyo kero kabisa...wao ni kudhurura kwa ndugu wenye pesa zao na kuwabana bana na familia zao....leo yupo Dar, kesho Arusha, kesho kutwa Mwanza....na wanachqgua miji ya kutembelea....hawataki kwenda Simiyu.
5.Wavulana hawawazi maisha....simu yake haishiwi bando la kuchati na warembo na kuposti picha mitandaoni wamechafua meza kwa chupa za pombe....wanawaza ngono na pombe....shubamiti
6.Ukimshauri atafute kibarua cha kufanya, anadai ana vyeti vyake...ipo siku atakuwa HR wa kampuni kubwa.....
7.Basi hawa wavulana wanasumbua sana kwa kuwapiga mizinga kaka au dada zao mpaka kero...kaka au dada yake anaishi chumba kimoja na mwenzi wake....mvukana mmoja mpumbavu anajibana hapo hapo.
Kwa hali hii kizazi cha miaka 3 ijayo kitatawaliwa na hawa wavulana....
Nawasikitikia dada zangu ambao hawajaolewa maana hawa ndiyo waume zao watarajiwa miaka 3 au 5 ijayo..
Wanaume wa kweli wameshaenda umri..wengi wao wako 30+ na wameshaoa..
Kundi kubwa limebaki la hawa wavulana ambao wako -29....
yaani ni shida....hakuna wanachokijua zaidi ya pombe, mademu na vumbi la Congo.
Kwa hali hii, warembo wakiolewa na wastaafu, tutawalaumu...?.Ni nani yupo tayari kuolewa na lijitu ambalo halikomai akili..? mvulana yupo radhi ashinde njaa lakini apate pesa ya kuweka bleach.
Wavulana badilikeni...mnaiangusha jinsia ya kiume.View attachment 1179156
hapana kwa hali hiyo haiwezekani..miaka 25 unatakiwa uwe kwako unafight kabisaYes...tena big YES...
Si unakuta jitu kubwa over 25 na kigraduate limeshagraduate...linabanana kwa shemeji...kazi kujiselfie, kupaka poda.....
Kwa namna hii unategemea mtu kama huyu ataweza kuwa baba wa familia..?
Na wao wanawake/wasichana ni vipuuzi vipuuzi kama vivulana vyao!!Hao wanawake wanaohitaji wanaume wanaojielewa je wanakidhi vigezo au una base upande mmoja?
Na kweli chips zimewaharibu....watoto wazuri mtaani wanalalamika hawakojozwi....Thubutu!Kama watakusikia hawa wanyoa oooo,scruber,wakujipodoa,perfume zaidi ya dada zao,wala chips na mahindi kwa pilipili,mahedifoni sikioni SAA 24,wapiga milegezo,waongeaji kwa pua kama waamerika,wapiga bao moja la chips hoi taabani nk.
Inauzi sana kwa hawa vijana jina/vijana suruali.
Wazee tutawakanyagia videmu vyao mpaka waitike abeeeeee!!
Yes..kama Arusha wavulana wanafirwa na vibabu vya kizungu vinavyokuja kutalii..
Tight kama za dada zao.Demu zao wanalalamika vijana wenzao midushe haina nguvu na hawana stamina ya kusimamia kucha kama simba.Mkuu Boeing 747 umeongelea jambo muhimu sana kaka, kuvaa tight za kupana unapata mpaka ramani ya dushe, hatari sana.
Kadushe kenyewe kameshasinyaa kwa chips..kamebaki nchi 2.5Mkuu Boeing 747 umeongelea jambo muhimu sana kaka, kuvaa tight za kupana unapata mpaka ramani ya dushe, hatari sana.
we acha tu...Aisee..hali inazidi kua mbaya
Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini nyakati hizi watoto wengi wazuri wanaolewa au wana date na wazee au wastaafu..??????