Hatari kuu inakuja. Wanaume wanatoweka, Wavulana wanaibuka kwa kasi

Wanashinda studio kubun mziki tu au kua vinyozi,ndio kazi wanazoziweza na wapo wengi?
 
8. Wanapenda kula chipsi yai na soda (chipsi hawamalizi) ugali wakila wanaumwa.
9. Wakipanda kifuani goli moja,mbili wanaumwa tatu wanaanza kulalamika
10. Wanajua sehemu zote za bata kuliko sehemu za kupata hela
 
wewe utakuwa ni mmoja wa hawa niliowazungumzia hapa....
Hivi maisha ya leo yalivyo mafupi, mambo yalivyo mengi....unathubutu kusema 29 kurudi chini ni mtoto..? seriously...??

Ungeniambia miaka 20 kurudi chini ni mtoto ningekuelewa.....
Endelea kujifariji....amka usingizini
 
8. Wanapenda kula chipsi yai na soda (chipsi hawamalizi) ugali wakila wanaumwa.
9. Wakipanda kifuani goli moja,mbili wanaumwa tatu wanaanza kulalamika
10. Wanajua sehemu zote za bata kuliko sehemu za kupata hela
Ukweli mtupu...
 
Thubutu!Kama watakusikia hawa wanyoa oooo,scruber,wakujipodoa,perfume zaidi ya dada zao,wala chips na mahindi kwa pilipili,mahedifoni sikioni SAA 24,wapiga milegezo,waongeaji kwa pua kama waamerika,wapiga bao moja la chips hoi taabani nk.

Inauzi sana kwa hawa vijana jina/vijana suruali.

Wazee tutawakanyagia videmu vyao mpaka waitike abeeeeee!!
 
Yes...tena big YES...
Si unakuta jitu kubwa over 25 na kigraduate limeshagraduate...linabanana kwa shemeji...kazi kujiselfie, kupaka poda.....

Kwa namna hii unategemea mtu kama huyu ataweza kuwa baba wa familia..?
hapana kwa hali hiyo haiwezekani..miaka 25 unatakiwa uwe kwako unafight kabisa
 
Na kweli chips zimewaharibu....watoto wazuri mtaani wanalalamika hawakojozwi....
 
Ausha vijana ndio wapuuzi kabisa.Huku vijana vipuuzi vingi kweli, vinadandiwa/vinapumuliwa na vibabu/mijamaa vya/ya kizungu.Vijana wengine wanaoa viajuza vya kizungu >70 yrs old.

Wanajiita Wana-Arachuga,mazungumzo yao ya kuwini maisha ni kupumuliwa visogoni na wazungu au kuoa viajuza vya kizungu.

Shenzi kabisa hao vijana.
Yes..kama Arusha wavulana wanafirwa na vibabu vya kizungu vinavyokuja kutalii..
 

Mi ndo maana sipendi kukaa na wazee,wazee wa siku hizi nuksi kinyama,mangu kishenzi wachawi kichizi yaani...!!!..huu ni wakati wetu vijana,tunakula gambe,bata,tuna swaggz,tunalewa,tukifika miaka 50 na sisi tutaokoka na tutaanza kuswali daily,mbona nyie enzi zenu za msondo ngoma,enzi za ujana wenu hatukuwaletea mboyoyo mingi???

Kila mtu apambane na hali yake..sisi tunapambana na ujana wetu,na nyie pambaneni na uzee wenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…